Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

Napata wasiwasi mkubwa sana...na ndio maana serikali yataka majina halisi ya JF members kwa sababu ya upumbavu ya watu wa aina hii
 
Maana navyojua vyuo vingi kwa semester wanasoma masomo 6....sasa yy anasoma masomo nane...na hajafanya mtihani wa project hahaahaha
 
Ivi si wewe ndo yule aliyemaliza form 4 juzi alafu ukaanza kuomba ushauri kati ya PCM & PCB ipi ndo nzuri umefika lini chuo mshenzi wewe
Au umefanya huku jf kama kijiwe cha kahawa.

ukiwa mwongo jaribu kuwa na kumbukumbu
 
24 out of 30 ni nini hiyo kama sio 80%

Course work ni 30 na mimi nimepata 24
Sasa 24 gawa kwa 30 halafu uzidishe kwa mara mia moja unapata ngapi?

Siku nyingine usiwe unabisha bisha uonekane mjuaji
Ndio maana kuna wadau wamehoji chuo unachosoma, umekuwa mkali! Chuo gani hicho Coursework 30%?
 
Sup5 Bado upo chuoni unasubiri ushauri! Chuo gani hicho....labda utaratibu umebadilika siku hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…