Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
- #361
OkUna GPA ya Ngapi? Kama Above 2.0 Komaa tu maana ukishindwa Ku-Clear Uta-Carry mzigo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OkUna GPA ya Ngapi? Kama Above 2.0 Komaa tu maana ukishindwa Ku-Clear Uta-Carry mzigo.
Niende PCM au PCB ?Disco hiyo. Jipange upya tu
Niende PCM au PCB ?Sup5 Bado upo chuoni unasubiri ushauri! Chuo gani hicho....labda utaratibu umebadilika siku hizi.
Sasa unakataa nini ?Bro come with the facts acha manenooooo.
Mkuu usingaike na huyu mtu.Bro come with the facts acha manenooooo.
Niende PCM au PCB ?Una GPA ya Ngapi? Kama Above 2.0 Komaa tu maana ukishindwa Ku-Clear Uta-Carry mzigo.
bro mbona unakuwa muongo sanaWakuu naombeni mnipe ushauri wa kunijenga kisaikolojia ,nimepata supplementary 5 katika masomo nane ninayo soma
Hapa nilipo sina amani kabisa yani ,najiona mkosaji mkubwa sana
Najaribu kutafuta visingizio kwa mzazi lakini nakosa
Natamani kusitisha masomo ili mwakani niombe upya kozi nyingine au kozi ile ile ili mradi nitengeneze cheti kisafi ili huko mbeleni nisisumbuke
Katika maisha yangu nilikuwa sijawahi kukutana na situation kama hii,kwa kifupi sijawahi kufeli sasa kwa marks nilizopata sasa naona kama nimedharirika sio uwezo wangu huo ,to be honest sikuwa serious katika masomo ,sasa chuo kumbe kila kitu kinahesabiwa kuanzia assignments mpaka test bila kusahau UE
Sasa mm assignments nilikuwa nafanya kimzaha mzaha ili mradi nikusanye nionekane nimefanya kazi
Najuta kwa kweli hata hamu ya kula sina ,please ndugu zangu wapendwa wa JF nipeni ushauri jamani tena mbaya zaidi masomo niliyopata sup ni magumu sana kwangu kusapua hivyo basi nahisi naenda kuya carry yote matano aisee roho inaniuma saana
Halafu Amepata A nne,B amepata Mbili na C moja,Ni Division one ya 10???bro mbona unakuwa muongo sana
![]()
mepata GPA ya ngapi?
Pitia narudia kwa mara ya 3 na ya mwisho, PITIA POST NAMBA 100Niende PCM au PCB ?
Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhari
Mkuu nitajie chuo ambacho tayari kimemaliza mitihani ya UE hapa nchini?
Niende PCM au PCB ?
Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhari
Niende PCM au PCB ?Halafu Amepata A nne,B amepata Mbili na C moja,Ni Division one ya 10???
Sawa mkuu nimekupataIla usijiuwe, jikaze kiume kwanza.
Niende PCM au PCB ?Ila usijiuwe, jikaze kiume kwanza.
wewe inakuuma nini?Niende PCM au PCB ?
Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhari
Huyu jamaa ni bonge Moja la kiazi.
Nawahurumia wanaotoa ushauri maana wanapoteza muda bmna nguvu bure
Niende PCM au PCB ?
Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhari
Sawa mkuu nashukuruKwanza upo mwaka wa ngapi! !
Kama ni mwaka wa 1 au 2 komaa uchomoe then semester inayofuata akikisha unapata A na B+ nyingi ili kufidia GPA yako isishuke sanaaa.