Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

bro mbona unakuwa muongo sana
 
Kwanza upo mwaka wa ngapi! !
Kama ni mwaka wa 1 au 2 komaa uchomoe then semester inayofuata akikisha unapata A na B+ nyingi ili kufidia GPA yako isishuke sanaaa.
 
Kwanza upo mwaka wa ngapi! !
Kama ni mwaka wa 1 au 2 komaa uchomoe then semester inayofuata akikisha unapata A na B+ nyingi ili kufidia GPA yako isishuke sanaaa.
Sawa mkuu nashukuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…