Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali


sasa uliingia hiyo kozi ya nini kama mitihani yake unajua kabisa sio uwezo wako!!!!!
 
Pitia post no100 nimetolea ufafanuzi yakinifu
Huu ni uzi wako mwingine:Niende PCM au PCB (31.01.2017)? Hapo ni issue ya kwenda F5. Na uzi wa leo ni matokeo ya chuo kikuu. Ahsante nimekuelewa.
 
kwa maana ya mfumo wa Semister bado hawezi kudisco kwa kuwa bado anatakiwa afanye pia masomo ya semister ya2, muhimu ujitume sana ili aemister ya pili ufaulu masomo yote ili ubaki na hivyo vimeo uvifanyie supu ya mwezi september hamna namna tema ila uwe serious uache kushinda humu JF, wengi walio humu wana maisha tayari.
 
mliopo vyuoni someni yasije yakawkuta kama hr 666 maana huwa mnawaficha hadi wazazi ukila jasho lao chuo uku ukijua fika una gpa ya 1.3
 
huenda kubeti na kushinda sana social network ni chanzo kikubwa cha wanafunzi kudisko.... pole sana kama uliwah pitia tabu za kudisko..
 
Upo chuo gani haswa, maana chuo chetu hio ni DISCO. or Discontinued.
 
Pole sana kwa hilo,mimi ni lecturer chuo fulani hapa Mbeya,je umepata GPA ya ngapi?na je hicho chuo wanapiga GPA ya overall ya semester zote mbili
 
Huu ni uzi wako mwingine:Niende PCM au PCB (31.01.2017)? Hapo ni issue ya kwenda F5. Na uzi wa leo ni matokeo ya chuo kikuu. Ahsante nimekuelewa.
Kama aliwahi kufungua uzi about kuchagua kombi btn PCM/PCB me sidhan kama yupo serious na anachokifanya or whether anajielewa.... you cant open thread for everthing......
 
Uko mwaka wa ngapi...?? Baada ya kuwa na hizo sup, una GPA ya ngapi na je, bado haujapoteza sifa za kuendelea kusoma kutokana na GPA..??
 
Sup ni kitu cha kawaida katika maisha ya chuo..... SUP TANO ITS RECOVERABLE INSTEAD OF WASTING YOUR TIME KUTYPE ESSAY NDEEFU ASKING FOR ADVICE YOU NEED TO SPEND LESS TIME ON JF OR ANY OTHE SOCIAL MEDIA (COZ NAONA NDO KINACHOKUPONZA) AND SPEND MORE TIME ON THE 5 SUP KAMA KWELI UNAJIELEWA....
 
Unasoma chuo gani mkuu?

Kama ni SAUT hakuna kudisco ni juhudi zako tu kuzichomoa hizo sups!
 
Ondoa mawazo ya kuwa huna uwezo wa kuyasapua kisha jiamini na ujiandae kwenda kufanya supplementary zako.
Ukitaka kuwa mpambanaji kuwa kwanza na lengo la kushinda ili kushindwa liwe tokeo tu lakini hukupanga kushindwa.
Kama umesha jua kosa ni wap basi ni rahis kuziclear hzo sup na kuwa muwaz kwa wahusika tena usije jarib kuwaambia haukuwa serious kwnye msom hpo utajiaribia...na kila kitu kinawezekana
But pole pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…