Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

Huu ni uzi wako mwingine:Niende PCM au PCB (31.01.2017)? Hapo ni issue ya kwenda F5. Na uzi wa leo ni matokeo ya chuo kikuu. Ahsante nimekuelewa.
Aise huyu atakuwa ni mpumbavu kama watu tunapoteza muda kusoma ujinga wake alaf yeye analeta post za kipuuz huo ni ushez wa hali ya juu...
Na hiyo tabia aiache mara moja...
La svyo

Sent from my SM-A710F using JamiiForums mobile app
 
Pole mkuu usiwaze kama hyo ni first semester kaza kwenye ya pili uspate sup alaf jitahid kusomea sup kwa bidii
 
Wakuu naombeni mnipe ushauri wa kunijenga kisaikolojia ,nimepata supplementary 5 katika masomo nane ninayo soma

Hapa nilipo sina amani kabisa yani ,najiona mkosaji mkubwa sana


Najaribu kutafuta visingizio kwa mzazi lakini nakosa

Natamani kusitisha masomo ili mwakani niombe upya kozi nyingine au kozi ile ile ili mradi nitengeneze cheti kisafi ili huko mbeleni nisisumbuke


Katika maisha yangu nilikuwa sijawahi kukutana na situation kama hii,kwa kifupi sijawahi kufeli sasa kwa marks nilizopata sasa naona kama nimedharirika sio uwezo wangu huo ,to be honest sikuwa serious katika masomo ,sasa chuo kumbe kila kitu kinahesabiwa kuanzia assignments mpaka test bila kusahau UE


Sasa mm assignments nilikuwa nafanya kimzaha mzaha ili mradi nikusanye nionekane nimefanya kazi


Najuta kwa kweli hata hamu ya kula sina ,please ndugu zangu wapendwa wa JF nipeni ushauri jamani tena mbaya zaidi masomo niliyopata sup ni magumu sana kwangu kusapua hivyo basi nahisi naenda kuya carry yote matano aisee roho inaniuma saana
Umekalia mbunye tu, tunawajua mkifika chuo mnajifanya mabishooo! Elimu ya kibongo UNADHANI mchezo heeee! Nenda kasapue lakin achana na kugawa PUCHI hadi utakapomaliza ! Inaonyesha utoaji wa puchi hauendani na uwezo wako wa kufaulu!
 
Kama alivosema jamaa apo huna haja ya kupanic kwa sasa.... We tulia kisha kufoccuss af kingine ni bora kuwa muwazi kwa wazaz wako sasa wakat bado mapema naimani watakuelewa tu coz if it was meant to be then it must happen.... Next time pull yo trousers and get serious with ur life...
 
How did you get 5_ suplimentaries ???? Are you serious with what you have been doing out there ???
My advice#//
Leave the colleges if not necessary , there other opportunities you may try to fix yourself not education with such circumstances!! You are losing a time on that my young brother!!! #
 
Achana na elimu fanya Vitu vingine ukizingatia umefeli kicheti lakini kichwani uposafi kwa mijibu wa maelezo yako sasa tumia elimu uliyonayo kujiendeleza (kutafuta) maisha. Bora wewe umesoma kunawatu hatakusoma hawajasoma wanavyeti feki na wengine hawana kabisa na mambo yanaenda.
Achana na maisha ya vyeti ,ishi maisha ya Elimu uliyonayo sawa brother ,kumbuka hivi vyeti vimetuendesha sana kwenye Nchi hii mpaka tukafikia hali hii.
Be careful my friend.
Certificate is just to verify your level of education,school or college, university you attended and a year you completed
Thats so and nothing more
Unless otherwise stated.
But knowledge is in your body (Head)
It's me Africa.

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 
Hivi wewe si ndo ulikuja na habari ya ambiance?
Kama ndo wewe sup 5 unasitahiri. Vipi na UKIMWI ulishapima?
 
Back
Top Bottom