Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

Ahsante ,nashukuru
thanks usife moyo kijana wangu waulize coet udsm mwaka wa 3 huwa wanabak wangap wew ni mwaka wa kwanza tu jitahidi ukiona mambo hayapandi wala usi force kingi waone tu tcu wanakupa chuo kulingana na machaguo utakayo fanya kwa mwaka wa masomo 2017/2018 na kama una mkopo kalipe 25% ya pesa waliokupa....
 
Kama haujadisco endelea but kaza buti.m nlisoma SUA watu wanakula sup 6&7 semester one but semester 2 wanashinda library wanatoka na za nne.

GPA inangarisha chet but ina play very little role kwenye ajira bcz ukiwa unaomba kazi mara nying unaombwa c v tu na cover letter ndio basis ya kuitwa kwenye interview, vyet n kama proof tu na ni baada ya interview.

The idea is that hauwez kutumia matokeo ya mtu kufanya employment decision since kila chuo kinatofautia ubora na ugumu also the way hyo gpa inatafutwa n tofaut.
Mm ninayo upper sec but nipo huku mtaan lkn watu wana vimbili vyao wapo kazini.
Kaza buti bcz ukiwa unaaply kazi mara nying hauombwi vyet, vyet n baadae.
Sawa mkuu nashukuru
 
kwani hizo nyuzi zina tatizo gan?

Zinauhusiana nini na nilichopost humu?


Always try to think critically
Hujui tatzo lilipo? Ama kweli weye ni qilaza, unatuletea post za kipuuzi na kujiproud na uli underestimate masomo ya chuo, sasa hivi unalia na misapu tena unaelekea kudisco maana huwezi Ku sup course 5 out of 8 ukabaki salama.
Acheni ulimbukeni wa mambo, deal with your schedule seriously, usijifuatishe na watu wengine huwezi jua walivyo
 
Wewe si kuna uzi ulianzisha Jan mwaka huu ukisema ushauriwe usome nini kati PCM na PCB umepata div one sasa chuo umeanza lini,umefanya mitihani ya mwaka au naota.Wewe ni mwongo HR 666
 
Huyu jamaa inabidi apelekwe hospitali ya vichaa ana matatizo.

Em angalia thread zake, yaani yupo Form IV, mara form VI, mara chuo, mara maisha ya chuo disco, mara anaishi na ukimwi, mara amesahau jina lake, mara kapata mke.

Niende PCM au PCB ?

Wakuu msaada tafadhari nimesahau jina langu halisi

Nimebahatika kupata mke

Nahisi nimeathirika na VVU

Maisha ya chuo raha kusoma mwisho alhamis ,ijumaa mpaka j pili tunakesha club

Kuanzisha threads haulipwi. Huo muda ungetumia kufanya kitu productive maana iko wazi kabisa hujui unafanya nini. Hizi likes unazitafuta kwa nguvu mno.
 
Cha kushangaza nn hapo. Kawaida sana utachomoa we piga msuki kama vile huna sup. Take it easy. Usipanik. Yani u relax soma kawaida tu..
.
.
Pia cha kuongezea. Wafutate walimu woooooote hao waambie "naomba unisaidie kunielekeza topics za ku cover ili nifaulu maana nina sup 5 napatashida kusoma"
.
.
Wakikujua hawatakufelisha, usiogope asee hahahahah unankumbusha mbali sana
 
Cha kushangaza nn hapo. Kawaida sana utachomoa we piga msuki kama vile huna sup. Take it easy. Usipanik. Yani u relax soma kawaida tu..
.
.
Pia cha kuongezea. Wafutate walimu woooooote hao waambie "naomba unisaidie kunielekeza topics za ku cover ili nifaulu maana nina sup 5 napatashida kusoma"
.
.
Wakikujua hawatakufelisha, usiogope asee hahahahah unankumbusha mbali sana
Nashukuru mkuu
 
Kuna aliyesap yote nane, akachomoa matano matatu akacarry then akayachomoa, saivi mambo swafi [emoji23]
 
mkuu umeongea mengi ila umeruka vipengele vingi sana em kuwa muwazi hapa!!!!
1. unasoma chuo gani na kozi gani na level ipi na upo mwaka wa ngapi..!!!!?
2. chuo chenu kinafanya udahiri wakati gani mpaka kipindi hiki ushajua matokeo coz vyuo vingi ndo vinafanya UE...!!!!
3. katika chuo chenu average ya kudisco ni GPA gani... na ni disco per semester au mpaka mwisho wa semester zote!!!!
4. kwann unataka kuwashirikisha home wakat bado hujadisco na una uwezo wa kuendelea!!!!

ushauri upo kama ukiwa serious na tatizo lako!
 
ndo faida ya hata hiyo[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom