Umeshasema sup 7,kwa semister 2,huyu kagonga 5 kwa semister 1, bado hajaweka dd zake, yaani anasikitisha hata kuomba sympathy kwa uongozi wa chuo ni utata, maana inaelekea hata hayo 3 katokea tundu la sindano. Daaah, aisee hii ni full Makonda's, atafuta Kagenzi tu uendelee na maishaHuo ndio uwezo wako huko ulikosoma kabla walikuwa wanakubeba. Kama haujadisco kutokana pengine na kufikisha gpa ya 2. Komaa nnawajua waliopata sapu 7kwa semister mbili na wakatoboa