Eng carol
Member
- Apr 22, 2016
- 13
- 8
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aise huyu atakuwa ni mpumbavu kama watu tunapoteza muda kusoma ujinga wake alaf yeye analeta post za kipuuz huo ni ushez wa hali ya juu...Huu ni uzi wako mwingine:Niende PCM au PCB (31.01.2017)? Hapo ni issue ya kwenda F5. Na uzi wa leo ni matokeo ya chuo kikuu. Ahsante nimekuelewa.
Umekalia mbunye tu, tunawajua mkifika chuo mnajifanya mabishooo! Elimu ya kibongo UNADHANI mchezo heeee! Nenda kasapue lakin achana na kugawa PUCHI hadi utakapomaliza ! Inaonyesha utoaji wa puchi hauendani na uwezo wako wa kufaulu!Wakuu naombeni mnipe ushauri wa kunijenga kisaikolojia ,nimepata supplementary 5 katika masomo nane ninayo soma
Hapa nilipo sina amani kabisa yani ,najiona mkosaji mkubwa sana
Najaribu kutafuta visingizio kwa mzazi lakini nakosa
Natamani kusitisha masomo ili mwakani niombe upya kozi nyingine au kozi ile ile ili mradi nitengeneze cheti kisafi ili huko mbeleni nisisumbuke
Katika maisha yangu nilikuwa sijawahi kukutana na situation kama hii,kwa kifupi sijawahi kufeli sasa kwa marks nilizopata sasa naona kama nimedharirika sio uwezo wangu huo ,to be honest sikuwa serious katika masomo ,sasa chuo kumbe kila kitu kinahesabiwa kuanzia assignments mpaka test bila kusahau UE
Sasa mm assignments nilikuwa nafanya kimzaha mzaha ili mradi nikusanye nionekane nimefanya kazi
Najuta kwa kweli hata hamu ya kula sina ,please ndugu zangu wapendwa wa JF nipeni ushauri jamani tena mbaya zaidi masomo niliyopata sup ni magumu sana kwangu kusapua hivyo basi nahisi naenda kuya carry yote matano aisee roho inaniuma saana