Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

Hiyo mbona disco broo maana umefeli nusu ya masomo. Hicho chuo kama hujadisco basi komaa usapue maana sijawahi kuona mtu anafeli nusu ya masomo arafu asidisco. Usikate tamaa tumia uwezo wako wa olevel or Alevel
 
Ondoa mawazo ya kuwa huna uwezo wa kuyasapua kisha jiamini na ujiandae kwenda kufanya supplementary zako.
Ukitaka kuwa mpambanaji kuwa kwanza na lengo la kushinda ili kushindwa liwe tokeo tu lakini hukupanga kushindwa.
niko pamoja na wewe kabisa aondoe neno hawezi na aweke neno anaweza kwani kupata sap si kitu cha ajabu cha msingi ameshajitambua ajìsafíshê maisha. yaende
 
pia ni vema sana ushauri uwo wakuonana kwanza na academic
 
Wewe shida yako ni mitandao ya kijamii mpaka mda wa kuandika haya unao ur not serious guy. Nimesoma udsm na ninafanya kazi na sijapata sup hata moja ww ni mzembe pubguza starehe na mengineyo..... ungekuwa mtt wangu adhabu yako ni kulima kijijini miaka 2 ndo uaply upya chuo.... sijui umefikaje chuo...

Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
 
Huu ni uzi wako mwingine:Niende PCM au PCB (31.01.2017)? Hapo ni issue ya kwenda F5. Na uzi wa leo ni matokeo ya chuo kikuu. Ahsante nimekuelewa.
Umemuelewa! Msamehe tu!
 
Ok. Sasa punguza kukurupuka. Kama ni mlimani anza kuandaa mabegi kwa ajiri ya kurudi home
 
Kama ni chuo kikuu mzumbe ..umedisco...sapu tano home ...kama pengine kasapue ujinyooshe..by the way are u serious with studies?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…