Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

Hiyo mbona disco broo maana umefeli nusu ya masomo. Hicho chuo kama hujadisco basi komaa usapue maana sijawahi kuona mtu anafeli nusu ya masomo arafu asidisco. Usikate tamaa tumia uwezo wako wa olevel or Alevel
 
Ondoa mawazo ya kuwa huna uwezo wa kuyasapua kisha jiamini na ujiandae kwenda kufanya supplementary zako.
Ukitaka kuwa mpambanaji kuwa kwanza na lengo la kushinda ili kushindwa liwe tokeo tu lakini hukupanga kushindwa.
niko pamoja na wewe kabisa aondoe neno hawezi na aweke neno anaweza kwani kupata sap si kitu cha ajabu cha msingi ameshajitambua ajìsafíshê maisha. yaende
 
Nafikir masomo matano utakua umedisco mana kwa masomo nane unatakiwa usapu masomo manne kwa ufaulu Wa masomo matatu, chamsing hapo utambiwa mawili urudie mwako au kudisco nikushaur uwasiliane na viongoz Wa academic Wa chuo ngaz ya mwanafunz wajue jins yakukusaidia
pia ni vema sana ushauri uwo wakuonana kwanza na academic
 
Wewe shida yako ni mitandao ya kijamii mpaka mda wa kuandika haya unao ur not serious guy. Nimesoma udsm na ninafanya kazi na sijapata sup hata moja ww ni mzembe pubguza starehe na mengineyo..... ungekuwa mtt wangu adhabu yako ni kulima kijijini miaka 2 ndo uaply upya chuo.... sijui umefikaje chuo...

Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
 
Uache ngono, fanya kilichokupeleka chuoni. Ukisoma hii post yako inaonyesha wazi unaendekeza ngono Nimebahatika kupata mke

_20170219_210032.JPG
 
Huu ni uzi wako mwingine:Niende PCM au PCB (31.01.2017)? Hapo ni issue ya kwenda F5. Na uzi wa leo ni matokeo ya chuo kikuu. Ahsante nimekuelewa.
Umemuelewa! Msamehe tu!
 
Ok. Sasa punguza kukurupuka. Kama ni mlimani anza kuandaa mabegi kwa ajiri ya kurudi home
 
Kama ni chuo kikuu mzumbe ..umedisco...sapu tano home ...kama pengine kasapue ujinyooshe..by the way are u serious with studies?
 
Back
Top Bottom