Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
- #41
Sawa ,haina shidaBASI HAUKO TAYARI KWA USHAURI! NA INAONYESHA ULICHOTUANDIKIA HAPO SI KWELI!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa ,haina shidaBASI HAUKO TAYARI KWA USHAURI! NA INAONYESHA ULICHOTUANDIKIA HAPO SI KWELI!!!
Upo chuo gani?Wakuu naombeni mnipe ushauri wa kunijenga kisaikolojia ,nimepata supplementary 5 katika masomo nane ninayo soma
Hapa nilipo sina amani kabisa yani ,najiona mkosaji mkubwa sana
Najaribu kutafuta visingizio kwa mzazi lakini nakosa
Natamani kusitisha masomo ili mwakani niombe upya kozi nyingine au kozi ile ile ili mradi nitengeneze cheti kisafi ili huko mbeleni nisisumbuke
Katika maisha yangu nilikuwa sijawahi kukutana na situation kama hii,kwa kifupi sijawahi kufeli sasa kwa marks nilizopata sasa naona kama nimedharirika sio uwezo wangu huo ,to be honest sikuwa serious katika masomo ,sasa chuo kumbe kila kitu kinahesabiwa kuanzia assignments mpaka test bila kusahau UE
Sasa mm assignments nilikuwa nafanya kimzaha mzaha ili mradi nikusanye nionekane nimefanya kazi
Najuta kwa kweli hata hamu ya kula sina ,please ndugu zangu wapendwa wa JF nipeni ushauri jamani tena mbaya zaidi masomo niliyopata sup ni magumu sana kwangu kusapua hivyo basi nahisi naenda kuya carry yote matano aisee roho inaniuma saana

Wakuu naombeni mnipe ushauri wa kunijenga kisaikolojia ,nimepata supplementary 5 katika masomo nane ninayo soma

Swali gumu hili mkuuUpo chuo gani?
WEWE SI NDIYO ULITUAMBIA KUWA UMEPATA DIV. ONE YA POINT 10,NA UNATAKIWA KWENDA FORM FIVE SASA LEO FORM FIVE TAYARI UNA SUP, MBONA UNATULETEA UGUNDUZI MPYA?Wakuu naombeni mnipe ushauri wa kunijenga kisaikolojia ,nimepata supplementary 5 katika masomo nane ninayo soma
Hapa nilipo sina amani kabisa yani ,najiona mkosaji mkubwa sana
Najaribu kutafuta visingizio kwa mzazi lakini nakosa
Natamani kusitisha masomo ili mwakani niombe upya kozi nyingine au kozi ile ile ili mradi nitengeneze cheti kisafi ili huko mbeleni nisisumbuke
Katika maisha yangu nilikuwa sijawahi kukutana na situation kama hii,kwa kifupi sijawahi kufeli sasa kwa marks nilizopata sasa naona kama nimedharirika sio uwezo wangu huo ,to be honest sikuwa serious katika masomo ,sasa chuo kumbe kila kitu kinahesabiwa kuanzia assignments mpaka test bila kusahau UE
Sasa mm assignments nilikuwa nafanya kimzaha mzaha ili mradi nikusanye nionekane nimefanya kazi
Najuta kwa kweli hata hamu ya kula sina ,please ndugu zangu wapendwa wa JF nipeni ushauri jamani tena mbaya zaidi masomo niliyopata sup ni magumu sana kwangu kusapua hivyo basi nahisi naenda kuya carry yote matano aisee roho inaniuma saana
Sawa mkuu nashukuruAhirisha mwaka maana mpak hapo ni tayari umedisko so ukisema uendelee itakua shida. ila mwakan ukirudi uache ujinga maana inaonyesha ulitoka secondary ukiwa na perception ya chuo bata. kuwa makini jifunze kutokana na makosa
Upo chuo gani?
Nipo mwaka wa kwanzaWengine tumemaliza zamani kidogo, tupe majibu haya kwanza:-
1. Upo mwaka wa ngapi?
2.Sheria ya chuo inasemaje ? ili ufanye sup inabidi usifeli zaidi ya masomo mangapi?
3.Unasomea kozi gani?
4.Upo chuo kipi?
5.Maelezo mengine yeyote yatakayoweza kutupa undani wako ?