Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

Swali gumu hili mkuu

Na sababu ya kuwa gumu ni kuwa huenda humu kuna ma lecturers wangu hivyo basi kuendelea kujianika itakuwa sio kitu kizuri na watakuwa wananifuatilia nyendo zangu kitu ambacho sipendi kitokee
 
Sup 5 means Disco, wewe umeichezea elimu na kupoteza muda katika mambo yasiyo ya Msingi,pole sana mpo wengi wa aina yako na kwa taratibu za mkopo uki Discontinue tu unatakiwa kuanza kulipa Deni lako bodi mara moja
Sikuomba mkopo

Nasomeshwa kwa pesa za wazee wangu
 
Kila chuo na sheria zake, kwa chuo chake inaelekea bado kudisco
 
Usikate tamaa. Jaribu kukaa chini na uangalie mbinu nyingi ya kuweza kukuenrol hadi mwakani. Lakini kama unanafasi ya kuongea na wakufunzi watakusaidia.
Nashukuru mkuu

Lakini roho saaana inaniuma kuchafua cheti

Vipi huko mbeleni ,hali itakuaje cheti chako kikionesha kwamba uliwahi kupata sup?
 
UE hujafanya/ kama ymefanya nadhani matokeo hayajaingia aris.

Any way, kwa sup hizo sina budi kusema umediscont.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…