Wakuu EGM au CBG nishaurini wapi niendeWakuu naombeni mnipe ushauri wa kunijenga kisaikolojia ,nimepata supplementary 5 katika masomo nane ninayo soma
Hapa nilipo sina amani kabisa yani ,najiona mkosaji mkubwa sana
Najaribu kutafuta visingizio kwa mzazi lakini nakosa
Natamani kusitisha masomo ili mwakani niombe upya kozi nyingine au kozi ile ile ili mradi nitengeneze cheti kisafi ili huko mbeleni nisisumbuke
Katika maisha yangu nilikuwa sijawahi kukutana na situation kama hii,kwa kifupi sijawahi kufeli sasa kwa marks nilizopata sasa naona kama nimedharirika sio uwezo wangu huo ,to be honest sikuwa serious katika masomo ,sasa chuo kumbe kila kitu kinahesabiwa kuanzia assignments mpaka test bila kusahau UE
Sasa mm assignments nilikuwa nafanya kimzaha mzaha ili mradi nikusanye nionekane nimefanya kazi
Najuta kwa kweli hata hamu ya kula sina ,please ndugu zangu wapendwa wa JF nipeni ushauri jamani tena mbaya zaidi masomo niliyopata sup ni magumu sana kwangu kusapua hivyo basi nahisi naenda kuya carry yote matano aisee roho inaniuma saana
Wakuu EGM au CBG nishaurini wapi niendeYaani ungekuwa mwanangu.......!
Punguza muda unaotumia humu jf na elekeza kwenye masomo na matokeo utayaona.
Level ya chuo kikuu sio ya kutafuniwa na kutemewa, kujiongeza ndio kila kitu.
Ila kuchomoa sup 5 sio kitoto potea humu nenda kapige msuli ila usisahau kuleta mrejesho!
Endelea kushinda JF.Sawa naomba ushauri wako tafadhari kwa wakati huu mgumu ninao pitia
Mkuu kama umesomea vyuo vya Tanzania huwezi kutoa ushauri hapa.Yaani ungekuwa mwanangu.......!
Punguza muda unaotumia humu jf na elekeza kwenye masomo na matokeo utayaona.
Level ya chuo kikuu sio ya kutafuniwa na kutemewa, kujiongeza ndio kila kitu.
Ila kuchomoa sup 5 sio kitoto potea humu nenda kapige msuli ila usisahau kuleta mrejesho!
huo kwakweli utoto afu there's greater chance ni under18 unakuta unabishana na mtoto mwenye umri wa watoto wetuNiliacha puchu kwa miaka miwili ila leo nimerudi kwa kasi
Shunie tangu nimpe ujauzito ananinyanyasa sasa, nataka nimletee mke wa pili
Nimechoka kupigwa Exile, maisha ya hostel yamenishinda
Endelea kuleta mambo ya kitoto kwenye jukwaa hili. Naona mods wanakuvutia kasi tu. Watakunasa tu
Wakuu EGM au CBG nishaurini wapi niendeKwa idadi ya masomo unayosoma (8) na umefail 5 hiyo obvious ni disco maana ume exceed nusu ya masomo i hope ni kwa semister!
Km unaaccess matokeo kwa SIS angalia status itakuwa Disco.
MUHIMU:
omba uje ifanye special tafuta justification (Karatasi ya daktari_singizia kuumwa) kuwa ulifanya mitihani ukiwa kwenye hali ya kuumwa uje ufanye special.
ANGALIZO:
walimu wengi hutunga mitihani ya special kwa kudescourage wanafunzi wasupende special; huwa inakuwa migumu mno!
POLE SANA!
Wakuu EGM au CBG nishaurini wapi niendeEndelea kushinda JF.
Yaani we jamaa unahitaji ushauri gani sasa si ulisema unawavutia hisia wanawake wa jf km Preta, sasa kwa nyuzi kama hizo kwa nn usidisco kabisaaa?? Nakuombea Discontinuity kaka kwa ujinga wa jfWakuu naombeni mnipe ushauri wa kunijenga kisaikolojia ,nimepata supplementary 5 katika masomo nane ninayo soma
Hapa nilipo sina amani kabisa yani ,najiona mkosaji mkubwa sana
Najaribu kutafuta visingizio kwa mzazi lakini nakosa
Natamani kusitisha masomo ili mwakani niombe upya kozi nyingine au kozi ile ile ili mradi nitengeneze cheti kisafi ili huko mbeleni nisisumbuke
Katika maisha yangu nilikuwa sijawahi kukutana na situation kama hii,kwa kifupi sijawahi kufeli sasa kwa marks nilizopata sasa naona kama nimedharirika sio uwezo wangu huo ,to be honest sikuwa serious katika masomo ,sasa chuo kumbe kila kitu kinahesabiwa kuanzia assignments mpaka test bila kusahau UE
Sasa mm assignments nilikuwa nafanya kimzaha mzaha ili mradi nikusanye nionekane nimefanya kazi
Najuta kwa kweli hata hamu ya kula sina ,please ndugu zangu wapendwa wa JF nipeni ushauri jamani tena mbaya zaidi masomo niliyopata sup ni magumu sana kwangu kusapua hivyo basi nahisi naenda kuya carry yote matano aisee roho inaniuma saana
Ahsante mkuu shukraniKwa idadi ya masomo unayosoma (8) na umefail 5 hiyo obvious ni disco maana ume exceed nusu ya masomo i hope ni kwa semister!
Km unaaccess matokeo kwa SIS angalia status itakuwa Disco.
MUHIMU:
omba uje ifanye special tafuta justification (Karatasi ya daktari_singizia kuumwa) kuwa ulifanya mitihani ukiwa kwenye hali ya kuumwa uje ufanye special.
ANGALIZO:
walimu wengi hutunga mitihani ya special kwa kudescourage wanafunzi wasupende special; huwa inakuwa migumu mno!
POLE SANA!
Pitia post no100 nimetolea ufafanuzi hiliJiulize ni chuo wametoa majibu mwezi huu?! Ndio kwanza vyuo vingi vinaganya UE! HUYU MTOTO NI MWONGO NA ANALETA UPUUZI HUMU
Pitia post no 100 ufafanuzi yakinifu umetolewaJiulize ni chuo wametoa majibu mwezi huu?! Ndio kwanza vyuo vingi vinaganya UE! HUYU MTOTO NI MWONGO NA ANALETA UPUUZI HUMU
Niende PCM au PCB ?Huyu DOGO akirudi kujibu hoja zake za nyuma na utumbo wa Leo mnistue. Nalala kwanza.
Ila huu utoto ifikie mahali mods waufanyie kazi
Naimani hawezi kurudi tena maana uzi wake nimeuwekea evidence za upuuzi wake.
Wakuu EGM au CBG nishaurini wapi niende
Jf inafanywa kama kijiwe cha watoto.
Kuchomoa DISC kwake ni km kuikuta bikra kwa mama mwenye watoto 8.Daaah mkuu umenifungua akili ,aiseee nashukuru saana kwa kweli
Watu kama nyie ndio mnasababisha jamii forum watu tuendelee kuwepo aisee nashukuru saaana kwa kweli
Halafu nashangaa watu wazima wanaendelea kukomaa kushauri.
Bro inaonekana jiji linakukimbiza,ulikujaga kuomba ushaur baada ya kuhisi umeathilika kwakuwa ulipiga kavu na malaya leo tena una msala aa chuo?,kuhusu chuo hapo ni disco labda iwe chuo ni cha mtaani ndio itakuwa repeat year or supp!Wakuu naombeni mnipe ushauri wa kunijenga kisaikolojia ,nimepata supplementary 5 katika masomo nane ninayo soma
Hapa nilipo sina amani kabisa yani ,najiona mkosaji mkubwa sana
Najaribu kutafuta visingizio kwa mzazi lakini nakosa
Natamani kusitisha masomo ili mwakani niombe upya kozi nyingine au kozi ile ile ili mradi nitengeneze cheti kisafi ili huko mbeleni nisisumbuke
Katika maisha yangu nilikuwa sijawahi kukutana na situation kama hii,kwa kifupi sijawahi kufeli sasa kwa marks nilizopata sasa naona kama nimedharirika sio uwezo wangu huo ,to be honest sikuwa serious katika masomo ,sasa chuo kumbe kila kitu kinahesabiwa kuanzia assignments mpaka test bila kusahau UE
Sasa mm assignments nilikuwa nafanya kimzaha mzaha ili mradi nikusanye nionekane nimefanya kazi
Najuta kwa kweli hata hamu ya kula sina ,please ndugu zangu wapendwa wa JF nipeni ushauri jamani tena mbaya zaidi masomo niliyopata sup ni magumu sana kwangu kusapua hivyo basi nahisi naenda kuya carry yote matano aisee roho inaniuma saana
Kumbe ndo wew[emoji15]Wakuu naombeni mnipe ushauri wa kunijenga kisaikolojia ,nimepata supplementary 5 katika masomo nane ninayo soma