Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

Mkuu kozi ninayosoma ipo chuo kimoja tu east africa nzima


Pia kusoma diploma kidogo itakuwa ngumu kwa maana mm nimeshahitimu kidato cha sita na alama zangu za ufaulu zinaridhisha sana

Mmmmh! Natamani niijue hiyo kozi. East Africa nzima! Ipi hiyo- Human Resource 666?!!!!!!
 
Halafu nashangaa watu wazima wanaendelea kukomaa kushauri.
Huu ni upuuzi mkubwa sana
Watz ni wavivu kufanya reference kuna siku huyu mtoa mada anasema amepata course work A......bado anasema amepata sup 5 kiujumla haeleweki na yy mwenyewe hajielewi anafanya nn
 
Kwa ufaulu huo ulistahili kudisco kabisa hvyo kama utapata fursa ya kusupp itumie vzr...
Relax hzo ni challenge tu za maisha huwez kuzikimbia hzo maana hata huku mtaan ukileta ujuaji maisha yatakupiga supp mapenz yatakupa supp kila kitu kitakupga supp kinachotakiwa ni kujikaza usiwe na moyo legelege kila siku utakua wa kulialia tu...
Just peak urself up and keep on goin...
Ukitaka kurukia mbali zaid lazma urud nyuma kidogo ndio uruke ndicho kilichokukuta umesharud nyuma kidogo jitahid uruke mbali zaid...

Mwenyew nlishaandikiwa disco chuo nkalialia wakaruhus nisapue from there onwards nmefanya wonders mpka najiogopa...
 
Sikuomba mkopo

Nasomeshwa kwa pesa za wazee wangu
Kumbe wewe [emoji23] [emoji23] sup ulistahili kwa kweli hata katika masomo yote 8, tuliza akili acha kusumbua sumbua watu wazima humu jf ukipata nafasi ya kuendelea na masomo achana na ujinga wa kushinda jf and other social networks komaa kwa vitu vya Msingi ondoa ujinga huo
 
Daah aisee mbona hilo tatizo lililokukuta DIT ni kitu cha kawaida tu yaan mtu anapigwa supp tano safi na ana sapua zote halafu mwendo mdundo we kama vip komaa tu wacha mzaha mzaha hicho kidemu kilosababisha hemu kiweke pemben kwanza mkuu
 
Ondoa mawazo ya kuwa huna uwezo wa kuyasapua kisha jiamini na ujiandae kwenda kufanya supplementary zako.
Ukitaka kuwa mpambanaji kuwa kwanza na lengo la kushinda ili kushindwa liwe tokeo tu lakini hukupanga kushindwa.
Wewe chuo gani uwe na . supp5 halafu uendelee.kusoma?
Labda vyuo vyetu vya m iaka 2000 ataendelea ...kadisco
 
Chuo gan hicho ambacho UE tayari na matokeo?
Ue tumaini wamemaliza jana, udsm last week kwahiyo hakuna matokeo leo maana vyuo vingi vinaangukia kwenye category hiyo. Pia ukifeli course 5 kwenye 8 hakuna kusapua ww ni Disco! Labda iwe St. JOSEPH hapo mbezi ndio nasikia wao huwa wanasimama mwaka wanarudi halafu ndio waendelee, kitu cha aina hiyo.
 
Wakuu naombeni mnipe ushauri wa kunijenga kisaikolojia ,nimepata supplementary 5 katika masomo nane ninayo soma

Hapa nilipo sina amani kabisa yani ,najiona mkosaji mkubwa sana


Najaribu kutafuta visingizio kwa mzazi lakini nakosa

Natamani kusitisha masomo ili mwakani niombe upya kozi nyingine au kozi ile ile ili mradi nitengeneze cheti kisafi ili huko mbeleni nisisumbuke


Katika maisha yangu nilikuwa sijawahi kukutana na situation kama hii,kwa kifupi sijawahi kufeli sasa kwa marks nilizopata sasa naona kama nimedharirika sio uwezo wangu huo ,to be honest sikuwa serious katika masomo ,sasa chuo kumbe kila kitu kinahesabiwa kuanzia assignments mpaka test bila kusahau UE


Sasa mm assignments nilikuwa nafanya kimzaha mzaha ili mradi nikusanye nionekane nimefanya kazi


Najuta kwa kweli hata hamu ya kula sina ,please ndugu zangu wapendwa wa JF nipeni ushauri jamani tena mbaya zaidi masomo niliyopata sup ni magumu sana kwangu kusapua hivyo basi nahisi naenda kuya carry yote matano aisee roho inaniuma saana
Tafuta issue nyingine ufanye.Mfano unaweza jifunza kukimbia riadha.Sidhani kama utashindwa fukuza upepo
 
Back
Top Bottom