Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu naombeni mnipe ushauri wa kunijenga kisaikolojia ,nimepata supplementary 5 katika masomo nane ninayo soma
Hapa nilipo sina amani kabisa yani ,najiona mkosaji mkubwa sana
Najaribu kutafuta visingizio kwa mzazi lakini nakosa
Natamani kusitisha masomo ili mwakani niombe upya kozi nyingine au kozi ile ile ili mradi nitengeneze cheti kisafi ili huko mbeleni nisisumbuke
Katika maisha yangu nilikuwa sijawahi kukutana na situation kama hii,kwa kifupi sijawahi kufeli sasa kwa marks nilizopata sasa naona kama nimedharirika sio uwezo wangu huo ,to be honest sikuwa serious katika masomo ,sasa chuo kumbe kila kitu kinahesabiwa kuanzia assignments mpaka test bila kusahau UE
Sasa mm assignments nilikuwa nafanya kimzaha mzaha ili mradi nikusanye nionekane nimefanya kazi
Najuta kwa kweli hata hamu ya kula sina ,please ndugu zangu wapendwa wa JF nipeni ushauri jamani tena mbaya zaidi masomo niliyopata sup ni magumu sana kwangu kusapua hivyo basi nahisi naenda kuya carry yote matano aisee roho inaniuma saana
Hivi vitoto vinavyobalehe chuoni ni tabu mnooo akikua labda atabadilikaMkuu hebu twende kwenye uhalisia. Chuo gani ambacho tayari wamefanya UE na matokeo yametoka?
Wachangiaji naona wanatililika kwenye Hewa.
Huyu jamaa anapenda sana kuchezea akili za members.
Niliacha puchu kwa miaka miwili ila leo nimerudi kwa kasi
Shunie tangu nimpe ujauzito ananinyanyasa sasa, nataka nimletee mke wa pili
Nimechoka kupigwa Exile, maisha ya hostel yamenishinda
Kama huwa unafuatilia nyuzi zake utagundua hata hapa anachezea akili za members. Mimi ningekuwa ni mods ningemsukumizia BAN

Haha umemganda huyu kilazaAu ni hizi zilikunogea?
Nahisi nimeathirika na VVU
Punguza uvulana ushakua,,ujinga achia vitoto vya o-level dogoAiseee maisha matamu sana hasa ukiweza kujipangilia
Mm na wanangu kuanzia jumatatu mpaka alhamisi tunasoma kama hatuna akili timamu yani msuli heavy .

Ila babaa kuanzia ijumaa mpaka jumapili ni mwendo wa bataaa mwanzo mwisho yani bampa tu bampa

Na kufeli hatufeli
Course work inasoma furesh mm nimepata 70 ,mwanangu mwengine kagonga 62 ,mwingine 68 halafu mwingine 82

Lakini cha ajabu wale ambao wanakesha class wamelamba 45 ,wengine 50 na kitu wachache ndio wametukaribia
Kwanza naanza kupata hata wasiwasi na elimu yake huyu...!Mkuu hebu twende kwenye uhalisia. Chuo gani ambacho tayari wamefanya UE na matokeo yametoka?
Wachangiaji naona wanatililika kwenye Hewa.
Huyu jamaa anapenda sana kuchezea akili za members.
Niliacha puchu kwa miaka miwili ila leo nimerudi kwa kasi
Shunie tangu nimpe ujauzito ananinyanyasa sasa, nataka nimletee mke wa pili
Nimechoka kupigwa Exile, maisha ya hostel yamenishinda
Kama huwa unafuatilia nyuzi zake utagundua hata hapa anachezea akili za members. Mimi ningekuwa ni mods ningemsukumizia BAN
Niliacha puchu kwa miaka miwili ila leo nimerudi kwa kasi
Shunie tangu nimpe ujauzito ananinyanyasa sasa, nataka nimletee mke wa pili
Nimechoka kupigwa Exile, maisha ya hostel yamenishinda
Wakuu EGM au CBG nishaurini wapi niendeUsimkatishe tamaa bifsi nilipata sapu nne India nikifanya engineering sem ya kwanza ila nilipigana kiume na kuchomoa kwahyo Usimkatishe tamaa ila kibongo bongo hyo inaweza ikawa disco
Mkuu gentamycine na wewe unacomment ushauri kws huyu DOGO asiyejielewa?Duh... kama ni Timu ya Mpira unaonekana unashambulia sana ila unafungwa Wewe magoli mengi. Masomo 8 halafu unaingia ' nyavuni ' mara 5 nzima na unapona kwa Masomo 3 tu? Mkuu yawezekana bahati yako haiko ' Kitaaluma ' zaidi na inawezekana kuna mahala pengine unaweza zaidi na ni mzuri mno ila labda hujajigundua au hujapajua. Pole sana Mkuu.
Aiseee maisha matamu sana hasa ukiweza kujipangilia
Mm na wanangu kuanzia jumatatu mpaka alhamisi tunasoma kama hatuna akili timamu yani msuli heavy .

Ila babaa kuanzia ijumaa mpaka jumapili ni mwendo wa bataaa mwanzo mwisho yani bampa tu bampa

Na kufeli hatufeli
Course work inasoma furesh mm nimepata 70 ,mwanangu mwengine kagonga 62 ,mwingine 68 halafu mwingine 82

Lakini cha ajabu wale ambao wanakesha class wamelamba 45 ,wengine 50 na kitu wachache ndio wametukaribiaWe kilaza si ndo ulisemaga mwaka huu umefaulu kwenda chuo umepata div 1 ya point 10....
Sasa leo umedisco tena.
Mods acheni kujambiana ofisini...njoo field muwaban watu kama hawa kila siku wanapost upotoshaji tuu
Paw naomba ufanyie kazi huu upotoshajiWe kilaza si ndo ulisemaga mwaka huu umefaulu kwenda chuo umepata div 1 ya point 10....
Sasa leo umedisco tena.
Mods acheni kujambiana ofisini...njoo field muwaban watu kama hawa kila siku wanapost upotoshaji tuu
Aiseee maisha matamu sana hasa ukiweza kujipangilia
Mm na wanangu kuanzia jumatatu mpaka alhamisi tunasoma kama hatuna akili timamu yani msuli heavy .

Ila babaa kuanzia ijumaa mpaka jumapili ni mwendo wa bataaa mwanzo mwisho yani bampa tu bampa

Na kufeli hatufeli
Course work inasoma furesh mm nimepata 70 ,mwanangu mwengine kagonga 62 ,mwingine 68 halafu mwingine 82

Lakini cha ajabu wale ambao wanakesha class wamelamba 45 ,wengine 50 na kitu wachache ndio wametukaribiaDuh... kama ni Timu ya Mpira unaonekana unashambulia sana ila unafungwa Wewe magoli mengi. Masomo 8 halafu unaingia ' nyavuni ' mara 5 nzima na unapona kwa Masomo 3 tu? Mkuu yawezekana bahati yako haiko ' Kitaaluma ' zaidi na inawezekana kuna mahala pengine unaweza zaidi na ni mzuri mno ila labda hujajigundua au hujapajua. Pole sana Mkuu.
Huyu wampige ban tuAiseee maisha matamu sana hasa ukiweza kujipangilia
Mm na wanangu kuanzia jumatatu mpaka alhamisi tunasoma kama hatuna akili timamu yani msuli heavy .

Ila babaa kuanzia ijumaa mpaka jumapili ni mwendo wa bataaa mwanzo mwisho yani bampa tu bampa

Na kufeli hatufeli
Course work inasoma furesh mm nimepata 70 ,mwanangu mwengine kagonga 62 ,mwingine 68 halafu mwingine 82

Lakini cha ajabu wale ambao wanakesha class wamelamba 45 ,wengine 50 na kitu wachache ndio wametukaribia
Aiseee maisha matamu sana hasa ukiweza kujipangilia
Mm na wanangu kuanzia jumatatu mpaka alhamisi tunasoma kama hatuna akili timamu yani msuli heavy .

Ila babaa kuanzia ijumaa mpaka jumapili ni mwendo wa bataaa mwanzo mwisho yani bampa tu bampa

Na kufeli hatufeli
Course work inasoma furesh mm nimepata 70 ,mwanangu mwengine kagonga 62 ,mwingine 68 halafu mwingine 82

Lakini cha ajabu wale ambao wanakesha class wamelamba 45 ,wengine 50 na kitu wachache ndio wametukaribiahuyu jamaa simwelewagi aiseee..anaweza.kupost kama form four mara form six mara yupo jib ...HR 666 hatari
Aiseee maisha matamu sana hasa ukiweza kujipangilia
Mm na wanangu kuanzia jumatatu mpaka alhamisi tunasoma kama hatuna akili timamu yani msuli heavy .

Ila babaa kuanzia ijumaa mpaka jumapili ni mwendo wa bataaa mwanzo mwisho yani bampa tu bampa

Na kufeli hatufeli
Course work inasoma furesh mm nimepata 70 ,mwanangu mwengine kagonga 62 ,mwingine 68 halafu mwingine 82

Lakini cha ajabu wale ambao wanakesha class wamelamba 45 ,wengine 50 na kitu wachache ndio wametukaribiainaonekana tukikufuatilia huko nyuma O'level & A'level haujafaulu kihalali yani kwa maana nyingine hauna tofauti na wale wanaofaulu darasa la saba kwenda secondary huku hawajui kusoma" kwanza ni chuo gani kinaruhusu uendelee kusoma huku ukiwa na sup' 5 nachokijua mimi hapo ume' discontinue maana hata nusu haujafika
Aiseee maisha matamu sana hasa ukiweza kujipangilia
Mm na wanangu kuanzia jumatatu mpaka alhamisi tunasoma kama hatuna akili timamu yani msuli heavy .

Ila babaa kuanzia ijumaa mpaka jumapili ni mwendo wa bataaa mwanzo mwisho yani bampa tu bampa

Na kufeli hatufeli
Course work inasoma furesh mm nimepata 70 ,mwanangu mwengine kagonga 62 ,mwingine 68 halafu mwingine 82

Lakini cha ajabu wale ambao wanakesha class wamelamba 45 ,wengine 50 na kitu wachache ndio wametukaribiaUsimkatishe tamaa bifsi nilipata sapu nne India nikifanya engineering sem ya kwanza ila nilipigana kiume na kuchomoa kwahyo Usimkatishe tamaa ila kibongo bongo hyo inaweza ikawa disco
Aiseee maisha matamu sana hasa ukiweza kujipangilia
Mm na wanangu kuanzia jumatatu mpaka alhamisi tunasoma kama hatuna akili timamu yani msuli heavy .

Ila babaa kuanzia ijumaa mpaka jumapili ni mwendo wa bataaa mwanzo mwisho yani bampa tu bampa

Na kufeli hatufeli
Course work inasoma furesh mm nimepata 70 ,mwanangu mwengine kagonga 62 ,mwingine 68 halafu mwingine 82

Lakini cha ajabu wale ambao wanakesha class wamelamba 45 ,wengine 50 na kitu wachache ndio wametukaribiaTatizo lenu mkifika chuo mnaendekeza sana mbunye na pombe
Aiseee maisha matamu sana hasa ukiweza kujipangilia
Mm na wanangu kuanzia jumatatu mpaka alhamisi tunasoma kama hatuna akili timamu yani msuli heavy .

Ila babaa kuanzia ijumaa mpaka jumapili ni mwendo wa bataaa mwanzo mwisho yani bampa tu bampa

Na kufeli hatufeli
Course work inasoma furesh mm nimepata 70 ,mwanangu mwengine kagonga 62 ,mwingine 68 halafu mwingine 82

Lakini cha ajabu wale ambao wanakesha class wamelamba 45 ,wengine 50 na kitu wachache ndio wametukaribiaMkuu hapa majuzi tu ulisema chuo bata sana unasoma kdogo unapata A tena ukataja narks zako ni 80+ unajua unatufanya sie wehu.
Supp 5/8 maana ake ni Nusu ya kozi zako umefeli kama vile vyuo vya kufeli kwa semester ulitakiwa uwe kwenu maana ushadisko.
Semester ijayo unaweza kuwa serious lakin ukapata tena supp mbili ambazo utakuewa na sup 7, sasa utaweza kuziondoa supp 7 unakuta supp 4 umechomoa alafu 3 ziwe carry forward sijajua chuo chenu mwisho carry ngap maana baadhi ya vyuo ukiwa na carry forward 3 unadisko au unarudia mwaka
Kama kwelii ni wewe majanga yamekukuta acha chuo uje uombe watapofungua maana ukidisko mwez wa 9 hautopata nafasi au ujitoe kiziondoa hizo supp..
Usihishi kwa historia ya o level au advance chuo ni pengine