ignatus peter
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 365
- 517
Hapo GPA itakua inasoma 1.8 bila shaka ambayo ni Technikal knock out....sorry Disco....But kwa Mungu Yote yanawezekana......Luka 1:37....have faith.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kozi ninayosoma ipo chuo kimoja tu east africa nzima
Pia kusoma diploma kidogo itakuwa ngumu kwa maana mm nimeshahitimu kidato cha sita na alama zangu za ufaulu zinaridhisha sana
Watz ni wavivu kufanya reference kuna siku huyu mtoa mada anasema amepata course work A......bado anasema amepata sup 5 kiujumla haeleweki na yy mwenyewe hajielewi anafanya nnHalafu nashangaa watu wazima wanaendelea kukomaa kushauri.
Huu ni upuuzi mkubwa sana
Teh, inamaana huyu dogo ni mmojawapo ya wale 3 kati ya 4?!Mkuu kama umesomea vyuo vya Tanzania huwezi kutoa ushauri hapa.
Chuo gani kimefanya UE muda huu na kumark na kutoa results?
Chunguza kabla ya Ku shauri usije ukatumia muda mrefu kutype ushauri kumbe chenga
Wakuu EGM au CBG nishaurini wapi niende
unazinguahilo mkuu siwezi kukwambia kwa sababu za kiusalama zaidi
Semister moja mnafanya masomo nane? Course gani hiyo?Nipo mwaka wa kwanza
Kumbe wewe [emoji23] [emoji23] sup ulistahili kwa kweli hata katika masomo yote 8, tuliza akili acha kusumbua sumbua watu wazima humu jf ukipata nafasi ya kuendelea na masomo achana na ujinga wa kushinda jf and other social networks komaa kwa vitu vya Msingi ondoa ujinga huoSikuomba mkopo
Nasomeshwa kwa pesa za wazee wangu
Very serious mkuu kadisco....mmmmh ,mkuu are u serious?
Asante umenifanya nicheke hakika huyu ni msalaba.Hiyo ni zaidi ya discontinue, halafu inaonekana hujitambui
Wewe chuo gani uwe na . supp5 halafu uendelee.kusoma?Ondoa mawazo ya kuwa huna uwezo wa kuyasapua kisha jiamini na ujiandae kwenda kufanya supplementary zako.
Ukitaka kuwa mpambanaji kuwa kwanza na lengo la kushinda ili kushindwa liwe tokeo tu lakini hukupanga kushindwa.
Ue tumaini wamemaliza jana, udsm last week kwahiyo hakuna matokeo leo maana vyuo vingi vinaangukia kwenye category hiyo. Pia ukifeli course 5 kwenye 8 hakuna kusapua ww ni Disco! Labda iwe St. JOSEPH hapo mbezi ndio nasikia wao huwa wanasimama mwaka wanarudi halafu ndio waendelee, kitu cha aina hiyo.Chuo gan hicho ambacho UE tayari na matokeo?
Tafuta issue nyingine ufanye.Mfano unaweza jifunza kukimbia riadha.Sidhani kama utashindwa fukuza upepoWakuu naombeni mnipe ushauri wa kunijenga kisaikolojia ,nimepata supplementary 5 katika masomo nane ninayo soma
Hapa nilipo sina amani kabisa yani ,najiona mkosaji mkubwa sana
Najaribu kutafuta visingizio kwa mzazi lakini nakosa
Natamani kusitisha masomo ili mwakani niombe upya kozi nyingine au kozi ile ile ili mradi nitengeneze cheti kisafi ili huko mbeleni nisisumbuke
Katika maisha yangu nilikuwa sijawahi kukutana na situation kama hii,kwa kifupi sijawahi kufeli sasa kwa marks nilizopata sasa naona kama nimedharirika sio uwezo wangu huo ,to be honest sikuwa serious katika masomo ,sasa chuo kumbe kila kitu kinahesabiwa kuanzia assignments mpaka test bila kusahau UE
Sasa mm assignments nilikuwa nafanya kimzaha mzaha ili mradi nikusanye nionekane nimefanya kazi
Najuta kwa kweli hata hamu ya kula sina ,please ndugu zangu wapendwa wa JF nipeni ushauri jamani tena mbaya zaidi masomo niliyopata sup ni magumu sana kwangu kusapua hivyo basi nahisi naenda kuya carry yote matano aisee roho inaniuma saana