Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

Usipoteze zaidi hio pesa ya mzazi wako . acha kusoma ufanye mambo mengine sio zambi kwani sio kila mtu mwenye kichwa cha shule
 
Inaonekana shule siyo mahali pako pengine kuna mahali ambapo pangekufaa zaidi, supp 5 kati ya 8 maana yake ni kwamba hauko makini na masomo yako
 
Sawa naomba ushauri wako tafadhari kwa wakati huu mgumu ninao pitia
Hii kwa mzumbe nadhani ungeshadisco maana pale sup zilikuwa zikifika nne in one academic year umedisco. Bora huko uliko. Ila ushauri mzuri ni kurudia mwaka tu, tafuta mbinu urudie mwaka kijana. Ila kama unlipiwa na heslb sijui itakuwaje.
 
Inaonekana shule siyo mahali pako pengine kuna mahali ambapo pangekufaa zaidi, supp 5 kati ya 8 maana yake ni kwamba hauko makini na masomo yako
9ff7c584681bc81b13bcf192106a05f0.jpg
 
Back
Top Bottom