Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

Wale ambao uwa mnasahau chuo ulienda peke ako sasa utarud kwenu na supp zako ukalime bamia na nyanya chungu my dear! Ila elimu haina mwsho uckate tamaa next time utocheza tena nakuapia maana utakua ushaujua uchungu wa maisha....
 
Chuo ni tofauti huko ulikokuwa unafaulu, fanya usapue au ubebe hizo kozi kisha udisko.
 
Coursework A?!?!?!?!
24 out of 30 ni nini hiyo kama sio 80%

Course work ni 30 na mimi nimepata 24
Sasa 24 gawa kwa 30 halafu uzidishe kwa mara mia moja unapata ngapi?

Siku nyingine usiwe unabisha bisha uonekane mjuaji
 
Back
Top Bottom