Dialogist
JF-Expert Member
- Apr 14, 2014
- 1,167
- 1,872
Wanabodi Habarini...
Leo Nimesimamishwa Na Askari Wa Usalama Barabarani akwa Kosa La Kutofunga Mkanda. Nilipomuona Ananifata Nikajiongeze Kufunga Kumbe Kashaniona. Ikanibidi Nikiri Kosa Na Kuomba Kujirekebisha, Tukaongea Kikubwa Yakaisha.
Swali Ambalo Nilijiuliza Na Hata Yeye Nilimuuliza Hakua Na Jibu Na Nyinyi Nawauliza Pia Kama Mtakua Na Majibu, Je Kama Sisi Wa Gari Ndogo Tunapigwa Faini Kwa Sababu Ya Kutofunga Mkanda, Je Vipi Kuhusu Kwenye Daladala Mbona Hatufungi Mikanda??? Na Vipi Zile Gari Za Polisi Ambazo Wamemodifai Na Kuweka Viti Nyuma Kama Vya utalii, Je Nao Mbona Hawafungi Mikanda?? Au Sheria Imekaaje Wakuu?? Maana Hata Kwenye Mabasi Tunahimizwa Kufunga Mikanda.
Nawasilisha
Diologist
Nyamisati NdaniNdani
Jumamosi Ya Leo