Nimepata Tashtwiti Kuandika Juu Ya Usalama Barabarani Na Jeshi Letu La Polisi

Nimepata Tashtwiti Kuandika Juu Ya Usalama Barabarani Na Jeshi Letu La Polisi

Acha ubishi boss funga mkanda epuka kifo Kwa ajali.
Mapolisi wao wameapa kulinda ardhi hii, watu wake na Mali zao. Kwahiyo usijali sana kuhusu wao.
Nakuelewa masta...
 
Mimi nikikumbushwa jambo ambalo ni Kwa ajili ya usalama wangu huwa hata sihoji zaidi ya kushukuru tu. Kufunga mkanda au kuvaa helmet ni kwa ajili yangu mwenyewe Ile faini ni Ili siku nyingine nisisahau.
Hakika hata mimi nilitii sheria bila shuruti
 
Back
Top Bottom