Dialogist JF-Expert Member Joined Apr 14, 2014 Posts 1,167 Reaction score 1,872 Jan 25, 2025 Thread starter #21 LUTULWITU said: Inafikirisha! Kutofunga mkanda hakupaswi kuwa na faini. Click to expand... Hakika Mkuu
LUTULWITU said: Inafikirisha! Kutofunga mkanda hakupaswi kuwa na faini. Click to expand... Hakika Mkuu
Dialogist JF-Expert Member Joined Apr 14, 2014 Posts 1,167 Reaction score 1,872 Jan 25, 2025 Thread starter #22 Sela Son said: Acha ubishi boss funga mkanda epuka kifo Kwa ajali. Mapolisi wao wameapa kulinda ardhi hii, watu wake na Mali zao. Kwahiyo usijali sana kuhusu wao. Click to expand... Nakuelewa masta...
Sela Son said: Acha ubishi boss funga mkanda epuka kifo Kwa ajali. Mapolisi wao wameapa kulinda ardhi hii, watu wake na Mali zao. Kwahiyo usijali sana kuhusu wao. Click to expand... Nakuelewa masta...
Dialogist JF-Expert Member Joined Apr 14, 2014 Posts 1,167 Reaction score 1,872 Jan 25, 2025 Thread starter #23 rip faza_nelly said: Mimi nikikumbushwa jambo ambalo ni Kwa ajili ya usalama wangu huwa hata sihoji zaidi ya kushukuru tu. Kufunga mkanda au kuvaa helmet ni kwa ajili yangu mwenyewe Ile faini ni Ili siku nyingine nisisahau. Click to expand... Hakika hata mimi nilitii sheria bila shuruti
rip faza_nelly said: Mimi nikikumbushwa jambo ambalo ni Kwa ajili ya usalama wangu huwa hata sihoji zaidi ya kushukuru tu. Kufunga mkanda au kuvaa helmet ni kwa ajili yangu mwenyewe Ile faini ni Ili siku nyingine nisisahau. Click to expand... Hakika hata mimi nilitii sheria bila shuruti