careenjibebe
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 1,604
- 1,652
Nahisi nina mimba[emoji1751] kabla sijaipata niliitaman na nikasema niitafute..nikaitafuta kama miez miwili hiv hola sasa mwezi huu nimenasa! Naogopaaa! Nawaza? Nifanyaje? Nitamudu? Kazi zangu itakuaje?
Hlf tayar sasa nakunywa soda tu muda wote sitak mdomo ubak bila kitu..ladha imekua mbaya mdomoni..nawaza tabu za mimba mpaka nijefika miez tisa? Sielew hapa ni kama sitak nataka? Hebu nishaurini nifanyaje? Upande mwingine napata picha ndiyo nimejifungua aah raha sana na katoto kangu kananichangamsha!
Nishaurini kwa upole tu mwenzenu mnajua tena mwenye mimba akili inakua siyo yake