Nimepata ujauzito, nishaurini jinsi ya kukabiliana na mabadiliko ya hali ya mwili

Nimepata ujauzito, nishaurini jinsi ya kukabiliana na mabadiliko ya hali ya mwili

Nay Wa Mitego hakukosea kusema mwaka huu mpaka magasho mtazaa kwa uchungu!

Baada ya Lil nas x naona gasho lingine limepata mimba
 
Sasa mwambie mshirikiane kuilea hiyo mimba...

Hapa JF tuko bize na ujenzi wa Taifa, sio kufuatilia mimba za watu...
Uzi wangu unaomba ushauri..nimekua na mawazo mawili..sitak nataka..siyo kuomba kufuatlia maendeleo ya mimba
 
Ili baadaye uje na uzi wa kutafuta mwanaume wa kukuoa ukiwa single mother na watu wakuchambe kwa kukuuliza uliyezaa naye yupo hai? Nataka kusema umechukua uamuzi wa kijinga sana! Ungetafuta mume na baada ya ndoa uzae
 
Ooh! Sasa umezunguka sana ungenishauri kwa upole tu mkuu! Ooh nimekuelewa asante!!
 
Hongera ,kama ujauzito wako hauna changamoto za hapa na pale utafanya kazi zako vizuri ila jitahidi kupata muda wa kupumzika, pia kuwa tayari kuacha baadhi ya mambo hasa ukifikia stage ya kulea.Kama baba mtoto anakusapoti ni vema zaidi maana malezi ya mimba & mtoto yana changamoto kiasi .
Mungu akutunze mamiloo

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Uzi wangu unaomba ushauri..nimekua na mawazo mawili..sitak nataka..siyo kuomba kufuatlia maendeleo ya mimba
Kwanza wazo la kuitoa achana nalo.

Pili ikifikisha wiki 20 anza clinic za kila mwezi. Huko watakushauri mambo mengi ikiwemo lifestyle, aina ya vyakula, aina ya mazoezi, hali yako na ukuaji wa mimba, maandalizi ya kumpokea mtoto nk.

JamiiForums mobile app
 
Sio wivu bali nakuangalia tu, jinsi unavyomchelewesha...

Unajua kabisa huyu binti lazima aje kwenye ukoo wetu...

Ukiendelea kuchelewa, nitam-mimbisha mimi mwenyewe...

Usije ukasema sijakuonya mapema
Asee ngoja nifanye haraka babu. Andaa tu yule kondoo mwenye mkia mnono akijifungua tumpikie mtori.
 
Uzi wangu unaomba ushauri..nimekua na mawazo mawili..sitak nataka..siyo kuomba kufuatlia maendeleo ya mimba
Kama hukutumia condom, basi wewe na mzinzi mwenzio mlikuwa mnataka

Sasa leeni kiumbe hicho muijaze dunia... Nakushauri ujifungue kwa operesheni ili mashine iendelee kuwa tight... Vinginevyo huyo mzinzi mwenzio atatafuta mzinzi mwingine amwambukize mimba kama alivyokuambukiza wewe...

Msitusumbue wakubwa wakati tuko bize na mama kulijenga taifa.

Kazi iendelee...
 
Back
Top Bottom