careenjibebe
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 1,604
- 1,652
Baba mwenye mimba wako yuko wapi?Nahisi nina mimba[emoji1751] kabla sijaipata niliitaman na nikasema niitafute..nikaitafuta kama miez miwili hiv hola sasa mwezi huu nimenasa! Naogopaaa! Nawaza? Nifanyaje? Nitamudu? Kazi zangu itakuaje? Hlf tayar sasa nakunywa soda tu muda wote sitak mdomo ubak bila kitu..ladha imekua mbaya mdomoni..nawaza tabu za mimba mpaka nijefika miez tisa? Sielew hapa ni kama sitak nataka? Hebu nishaurini nifanyaje? Upande mwingine napata picha ndiyo nimejifungua aah raha sana na katoto kangu kananichangamsha! Nishaurini kwa upole tu mwenzenu mnajua tena mwenye mimba akili inakua siyo yake
Subiri uzi wa aliyenibebesha mimba amenikimbiaSasa kitu ulikuwa unakitafuta sasa umekipata
Ushauri wa nini sasa hapo?
Vumilia tu , hayo ni mapito ya muda tu , mungu akujalie ujifungue salamaNahisi nina mimba[emoji1751] kabla sijaipata niliitaman na nikasema niitafute..nikaitafuta kama miez miwili hiv hola sasa mwezi huu nimenasa! Naogopaaa! Nawaza? Nifanyaje? Nitamudu? Kazi zangu itakuaje? Hlf tayar sasa nakunywa soda tu muda wote sitak mdomo ubak bila kitu..ladha imekua mbaya mdomoni..nawaza tabu za mimba mpaka nijefika miez tisa? Sielew hapa ni kama sitak nataka? Hebu nishaurini nifanyaje? Upande mwingine napata picha ndiyo nimejifungua aah raha sana na katoto kangu kananichangamsha! Nishaurini kwa upole tu mwenzenu mnajua tena mwenye mimba akili inakua siyo yake
Yanini sasa hayo mabarafu?Mungu akutangulie...Tafuta mabarafu ya Moto
Sasa tukushauri vipi huku ukiwa na akili zisizo zako utatuelewaje sasa.Nahisi nina mimba[emoji1751] kabla sijaipata niliitaman na nikasema niitafute..nikaitafuta kama miez miwili hiv hola sasa mwezi huu nimenasa! Naogopaaa! Nawaza? Nifanyaje? Nitamudu? Kazi zangu itakuaje? Hlf tayar sasa nakunywa soda tu muda wote sitak mdomo ubak bila kitu..ladha imekua mbaya mdomoni..nawaza tabu za mimba mpaka nijefika miez tisa? Sielew hapa ni kama sitak nataka? Hebu nishaurini nifanyaje? Upande mwingine napata picha ndiyo nimejifungua aah raha sana na katoto kangu kananichangamsha! Nishaurini kwa upole tu mwenzenu mnajua tena mwenye mimba akili inakua siyo yake
[emoji1751]Know your purpose on Earth, mengine yatabaki story
Yupo yupo imara kabisa!Baba mwenye mimba wako yuko wapi?
Tuanzie hapo kwanza...
Naogopa lakini AMIIN!Hongera Sana..Mungu akutunzie mimba yako uzae salama.
Nishauri bas!Wacha bwana!!!!
Ooh!!Congratulations and Good luck, OP.
Ili?Subiri uzi wa aliyenibebesha mimba amenikimbia