Nimepata ujauzito sijui ni wa nani

Ulivyokuwa unawaita hotelini ulitegemea waje kufanya nini?, Wa kwanza amekulazimisha, fine kwa nini uite tena wa pili? Bogus.
She is an idiot! Kama wa kwanza alifanya naye akaondoka, alimuita wa pili ya nini tena chumbani.
 
Walikulazimisha vp wakati huyo mmoja hadi mlienda kupima, usitufanye sie watoto
Ana 'mpenzi mchumba' arusha akasafiri kikazi, kufika hotelini akampigia 'x' mume wa mtu, wakapima ngoma wakasex, then akampigia 'mpenzi mwingine' akaja akamkatalia lakini alimwaga nje. Mpaka wamepima maana yake alikibali, mpaka anampigia simu mwingine alikuwa anataka kugegedwa. Ukimfikiria vizuri utagundua kuwa huyu mwanamke ni bullshit!
 
Kabisa yaani

Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
 

Mwanamke msenge sana
 
Hahaahaha kupatwa kwa mimba mbona wakati unasex hukuomba ushauri
 
We waambie wote alafu ucheki reactions zao, atakae ipokea bila tatizo huyo ndio baba wa mtoto. Sasa wakiipokea vizuri wote hapo ndio akili kumkichwa, mtwishe unayeona ndio anafaa kuwa baba wa mwanao.
 
Kila mmoja mwambie ni mimba yake, utakapojifungua atakaefanana nae ndo baba ake, mtoto akifanana na wewe hiyo sasa itakua kupatwa kwa mimba....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Pumbavu sana wewe.........utakufa kwa umalaya.........unakuja kutuanikia maovu yako hapa ili tukusaidie mawazo gani na unajijua kuwa umekubuhu kwenye ukahaba wako........nakuombea wakushtukie m'moja wapo wa hao wanaume akulime na risasi ya kichwa ufie mbali uende huko jehanamu kwa baba yako wa damu sheitwani bin lucifer wewe.....[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Wanaume kazi tunayo. Tuanzisheni kampeni DNA nyumba kwa nyumba nazani. Tunapigwa sana fake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…