hekimanyingi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 679
- 573
Hiyu demu ni soro kweli. Anadhani ars kina wanawake hewa kama yeye.we hujielewi afu unataja mkoa wetu kijinga kwel cku nyingne sema hata singida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyu demu ni soro kweli. Anadhani ars kina wanawake hewa kama yeye.we hujielewi afu unataja mkoa wetu kijinga kwel cku nyingne sema hata singida
She is an idiot! Kama wa kwanza alifanya naye akaondoka, alimuita wa pili ya nini tena chumbani.Ulivyokuwa unawaita hotelini ulitegemea waje kufanya nini?, Wa kwanza amekulazimisha, fine kwa nini uite tena wa pili? Bogus.
Ana 'mpenzi mchumba' arusha akasafiri kikazi, kufika hotelini akampigia 'x' mume wa mtu, wakapima ngoma wakasex, then akampigia 'mpenzi mwingine' akaja akamkatalia lakini alimwaga nje. Mpaka wamepima maana yake alikibali, mpaka anampigia simu mwingine alikuwa anataka kugegedwa. Ukimfikiria vizuri utagundua kuwa huyu mwanamke ni bullshit!Walikulazimisha vp wakati huyo mmoja hadi mlienda kupima, usitufanye sie watoto
Kabisa yaaniAna 'mpenzi mchumba' arusha akasafiri kikazi, kufika hotelini akampigia 'x' mume wa mtu, wakapima ngoma wakasex, then akampigia 'mpenzi mwingine' akaja akamkatalia lakini alimwaga nje. Mpaka wamepima maana yake alikibali, mpaka anampigia simu mwingine alikuwa anataka kugegedwa. Ukimfikiria vizuri utagundua kuwa huyu mwanamke ni bullshit!
Ana 'mpenzi mchumba' arusha akasafiri kikazi, kufika hotelini akampigia 'x' mume wa mtu, wakapima ngoma wakasex, then akampigia 'mpenzi mwingine' akaja akamkatalia lakini alimwaga nje. Mpaka wamepima maana yake alikibali, mpaka anampigia simu mwingine alikuwa anataka kugegedwa. Ukimfikiria vizuri utagundua kuwa huyu mwanamke ni bullshit!
Ha ha ha haaaaaa, we ni shiiiiiiiida sana.Kila mmoja mwambie ni mimba yake, utakapojifungua atakaefanana nae ndo baba ake, mtoto akifanana na wewe hiyo sasa itakua kupatwa kwa mimba....
Katika ubora wakoKila mmoja mwambie ni mimba yake, utakapojifungua atakaefanana nae ndo baba ake, mtoto akifanana na wewe hiyo sasa itakua kupatwa kwa mimba....
Duh!Kila mmoja mwambie ni mimba yake, utakapojifungua atakaefanana nae ndo baba ake, mtoto akifanana na wewe hiyo sasa itakua kupatwa kwa mimba....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kila mmoja mwambie ni mimba yake, utakapojifungua atakaefanana nae ndo baba ake, mtoto akifanana na wewe hiyo sasa itakua kupatwa kwa mimba....
Pumbavu sana wewe.........utakufa kwa umalaya.........unakuja kutuanikia maovu yako hapa ili tukusaidie mawazo gani na unajijua kuwa umekubuhu kwenye ukahaba wako........nakuombea wakushtukie m'moja wapo wa hao wanaume akulime na risasi ya kichwa ufie mbali uende huko jehanamu kwa baba yako wa damu sheitwani bin lucifer wewe.....[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]Nilisafiri kwenda mkoa fulani kikazi nikafikia hoteli moja kubwa, nikiwa hotelini alikuja mpenzi wangu wa zamani kunisalimia, bahati mbaya tukasex tulipimana HIV kwa vile ana mke akaondoka, nikampigia mpenzi wangu mwingine huyu yupo single akaja nae akataka tusex nikakataa kabisa ila akawa amenishikilia kwa nguvu nae akanimwagia mbegu zake nje hatukusex kabisa ile ya penetration kwa sasa nina ujauzito miezi mitatu sijamueleza yoyote kati yao.
Nilivyorudi Arusha nina mpenzi wa kudumu nae tumeendelea ila najua mimba sio yake maana tunapishana mwezi toka niliposex nae na mimba ilipotokea.
Huyo mume wa mtu nae ananipenda sana na ameshaachana na mke wake sio kwa ajili yangu walikuwa na matatizo muda mrefu hata mimi sikutaka aachane na mkewe hawa wote wananitaka, hii mimba niipeleke kwa nani wote ni wanaume wazuri tu ila nimekwama kabisa.