Nimepata ujauzito sijui ni wa nani

Nashangaa mnaonitukana bila sababu utadhani kosa langu mimi sikutaka kufanya mapenzi na hao wanaume .nilimueleza mpenzi naeishi nae yaliyotokea ili aondoke kwangu tuachane .Yeye kasema yupo radhi kunisamehe na kunilea na mtoto tena nisiwaeleze hao jamaa yaliyotokea.ila simuamini mimi nataka tuachane tu nimeshaharibu.
 
hahaaaa!!
Ogopa sana Huyo mwanaume weee!!!

mmmhhh!Huyo ana yake kichwani!

Jihami bila silaha!
 
Kati ya hao jamaa kuna mmoja unampenda na inawezeka ndiye aliesababisha hiyo mimba na huyo unaeishi nae humpendi kitu cha msingi mwambie kua humpendi ili asepe nawe uishi kivyako na mimba yako.
 
Aisee achana na huyo jamaa......wanaume wengine bana ushapigiwa bado unang'ang'ania tuu.......au ana CD tu hapo kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…