Nimepata ujauzito sijui ni wa nani

Mkuu naona unafuata falsafa ya ufyetuaji kama tulivyoambiwa
 
Mume wa mtu ndo mwenye kijusi..ila sasa jiandae kisaikolojia mana umeuwasha moto..muda mwingine muwe mnaangalia makabila ya kuwajaribu na hizo mimba kama kwetu wewe unaweza kuja zaa muhogo kwa mambo ya kujitakia
Hahaahaa! Umeuwa mkuu.
 
Kufanana sio kipimo cha baba wa mtoto mimi nilizaa mtoto ambaye baada ya mwaka tukapata jirani mpya amehamia mtaa wetu simjui masikini ya Mungu mwanangu alifanana sana yule kaka na walikua wanapatana haswaa maana Abeid wangu usipomuona nyumbani jioni basi yupo nyumba jirani kwa uyo kaka,Lakini hakua baba yake ni ufanano tu wa kibinadamu sasa hivi ndo karudisha sura ya dingi yake! Kwaiyo asiwabambikie kwa kigezo cha ufanano Duniani wawili wawili sawa sawa na Jike shupa + shilole
 
Majuto huja baada ya kitendo wajomba andaeni Besen
 
Kila mmoja mwambie ni mimba yake, utakapojifungua atakaefanana nae ndo baba ake, mtoto akifanana na wewe hiyo sasa itakua kupatwa kwa mimba....
ahahahhhahah daa we ulikuwaga mke wa nabii solomon nn,hekima zako hatar
 
Kila mmoja mwambie ni mimba yake, utakapojifungua atakaefanana nae ndo baba ake, mtoto akifanana na wewe hiyo sasa itakua kupatwa kwa mimba....
Teh teh teh! Siyo kupatwa kwa mtoto?
 
Mpe vidonge vyake akimeza sawa akishindwa mpige ki tofali
 
Kila mmoja mwambie ni mimba yake, utakapojifungua atakaefanana nae ndo baba ake, mtoto akifanana na wewe hiyo sasa itakua kupatwa kwa mimba....
umenikumbusha wakati mnamzito nahudhulia clinic....kuna dada alikuwa na kadi 3 za clinic....kila kadi kuna jina tofauti la baba wa mtoto. kwahiyo ni yeye tu aamue.
 
Dah umeweza kuwarubuni wanaume watatu kama ulivyoeleza kwenye bandiko lako unashindwa kuamua wa kumpa mimba?
Atakayekuchagulia wa kumpa hiyo mimba hapa jukwaani atakuwa anakushauri asichokijua.
Hili ni la kufanya maamuzi wewe mwenyewe kwa kweli.
 
hyo mimb ni yako aiseee....ucmsingzie mtu...ila upo vzuriii...
 
nilitak ikuteremshie vitu basi tu nimekuwa mdogo na kwa ukimya nakwambia tubora umpe mhusika mwenyewe kwa vile kashaachana na mke af ndio mimba yake...sio vizuri kumbambikia mtu mwingine...damu nzito kuliko maji
 

Vipi huu ujauzito ni mwingine au ni ule Wa 2013 ?
Maana ulitangaza kutulia sasa sijui ,kama umepigwa p na wawili ndani ya Masaa he ulivyokua hujatulia di ulikua shidaas
 
haha mwambie kila mmoja kwamba ni mzigo wake (utahudumiwa vyema) then ukitotoa mwaenda kwa mkemia pale kuproof read oops kuproof vinasaba yaani DNA!!!!!!
Baba wakibailojia akijulikana basi wamtunuku mtoto; wengine watabaki kuwa baba walezi tu kama watapenda;

Proble solved!!
Over
 
Kweli dada huyo anatia aibu wawili kwa usiku mmoja
Ana kihirizi huyo
Tena inaelekea siyo kwa usiku mmoja tu mkuu, baali ilikuwa bandika bandua, huyu anatoka, huyu anaingia!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…