Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,772
- 4,544
Nafuatilia Kwa umakini mkubwa bunge, nimepata utata wa utofauti wa maneno haya MKATABA, AGREEMENT na Makubaliano, halafu hili la bandari yetu ni Mkataba, Agreement au Makubaliano? mana wabunge wachangiaji wanadai mkataba haujafika Bado! ukifika tuu wataupeleka bungeni😇
Wabunge wanautaja mkataba lakini wanaukataa Tena kuwa siyo mkataba,basi watuambie ni Nini hiki?!
Natamani bunge lingekuwa na watu kama akina Tundu lissu,Mbowe,Zitto labda ningepata vitu tofauti kidogo.
Mimi siyo mwanasheria.