Nimepata utata kwenye mjadala unaondelea bungeni, huu ni Mkataba au makubaliano?

MKATABA - ni makubaliano ya kisheria kati ya pande mbili au zaidi ambayo yanaweka haki na wajibu wa kila upande na yanaweza kutekelezwa kisheria iwapo kuna uvunjaji.

AGREEMENT - ni neno la Kiingereza linalomaanisha makubaliano au mkataba. Kwa Kiswahili, neno hili linaweza kutafsiriwa kama makubaliano au mkataba kulingana na muktadha.

MAKUBALINO - hayana nguvu ya kisheria lakini yanategemea imani na heshima ya pande zinazohusika. Makubaliano haya yanaweza kuwa ya kibinafsi au ya kitaasisi na yanaweza kuhusu shughuli mbalimbali za kila siku .
Mkuu unaposema "MAKUBALINO - hayana nguvu ya kisheria una maanisha nini? kwamba hayawezi kupelekwa mahakamani incase kuna kutokuelewana baina ya pande husika au una maana kuwa hawayabani wahusika kisheria kutekeleza walichokubaliana?
 
Ni kweli kabisa,wabunge wengi hawakijui wanachokijadili,hapa namuona HALIMA MDEE akipambana na DR TULIA, TULIA anampa za Uso HALIMA[emoji1787][emoji1787],haka kaspika level zake ni Tundulissu tu.
Lkn Hata Tundu Lissu alipigwa za Uso
Kumbuka Ile Case Ya Uchaguzi
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu unaposema "MAKUBALINO - hayana nguvu ya kisheria una maanisha nini? kwamba hayawezi kupelekwa mahakamani incase kuna kutokuelewana baina ya pande husika au una maana kuwa hawayabani wahusika kisheria kutekeleza walichokubaliana?
Nime_edit maelezo
=
3. Makubaliano (Understanding): Hii ni makubaliano kati ya pande mbili ambayo yanaweza kuwa ya mdomo au ya maandishi. Makubaliano yanaweza kujumuisha ahadi au mipango ya baadaye, lakini kwa kawaida hayana masharti na vigezo vya kisheria.
 
Lkn Hata Tundu Lissu alipigwa za Uso
Kumbuka Ile Case Ya Uchaguzi
[emoji23][emoji23][emoji23]
Aaah lakini nahisi pengine wangechuana,haiwezi kuwa TULIA Mmoja ni sawa na Tundulissu na KIBATALA Kwa pamoja.
 
Nafuatilia Kwa umakini mkubwa bunge, nimepata utata wa utofauti wa maneno haya MKATABA, AGREEMENT na Makubaliano, halafu hili la bandari yetu ni Mkataba, Agreement au Makubaliano? mana wabunge wachangiaji wanadai mkataba haujafika Bado! ukifika tuu wataupeleka bungeni😇

Wabunge wanautaja mkataba lakini wanaukataa Tena kuwa siyo mkataba,basi watuambie ni Nini hiki?!
Natamani bunge lingekuwa na watu kama akina Tundu lissu,Mbowe,Zitto labda ningepata vitu tofauti kidogo.

Mimi siyo mwanasheria.
Ni agreement ambayo siyo CONTRACT. Kuna Agreements zingine ambazo huwa ni CONTRACT, ila siyo hii inayojadiliwa Bungeni mda huu
Nadhani Mh Spika alitakiwa aanze kwa kuwafafanulia kidogo baadhi ya Wabunge ambao hawajasoma sheria tofauti iliyopo kati ya Mkataba (Contract) na Makubaliano (Agreement)

Kwa hiyo tutakuwa sawa tukisema kinachojadiliwa bungeni Leo ni Makubaliano na Wala SI mkataba(contract)?
 
Aaah lakini nahisi pengine wangechuana,haiwezi kuwa TULIA Mmoja ni sawa na Tundulissu na KIBATALA Kwa pamoja.
Hii issue wameiendea kimihemko sana
Kwa sasa wengi wataonekana hawakuwa SAHIHI akiwemo MBOWE

Katika hili namuona mzee wa FURSA Zitto akiibuka KIDEDEA, Hakukurupuka kupinga

Ingekuwa vema kama wabunge wangejielekeza KUBORESHA vifungu ambavyo haviko sawa, sasa watuweengi huku nje waliingiza ya Uongo sana halafu kwa Sasa Serikali na yenyewe imejikita kuonyesha Ile Uongo ulioenezwa NA BUNGE NALO WENGI WA WABUNGE WAMEUNGANA NAYO
At the end vifungu vinavyohitaji tafakuri ya kina ili viboreshwe vitapitishwa vilevile

Lakini katika Uchambuzi wa Mambo kwa Utulivu Tundu Lissu hawezi Kusimama na Tulia
Kama tukiweka pembeni ushabiki
 
Ni agreement ambayo siyo CONTRACT. Kuna Agreements zingine ambazo huwa ni CONTRACT, ila siyo hii inayojadiliwa Bungeni mda huu
Nadhani Mh Spika alitakiwa aanze kwa kuwafafanulia kidogo baadhi ya Wabunge ambao hawajasoma sheria tofauti iliyopo kati ya Mkataba (Contract) na Makubaliano (Agreement)

Kama ni Makubaliano yaso ya kisheria kati ya nchi na nchi basi Serikali Iko sahihi na sisi wananchi hatujaeleweshwa kuhusu suala hili
 
Nafuatilia Kwa umakini mkubwa bunge, nimepata utata wa utofauti wa maneno haya MKATABA, AGREEMENT na Makubaliano, halafu hili la bandari yetu ni Mkataba, Agreement au Makubaliano? mana wabunge wachangiaji wanadai mkataba haujafika Bado! ukifika tuu wataupeleka bungeni[emoji56]

Wabunge wanautaja mkataba lakini wanaukataa Tena kuwa siyo mkataba,basi watuambie ni Nini hiki?!
Natamani bunge lingekuwa na watu kama akina Tundu lissu,Mbowe,Zitto labda ningepata vitu tofauti kidogo.

Mimi siyo mwanasheria.
Wabunge wanautaja mkataba lakini wanaukataa Tena kuwa siyo mkataba,basi watuambie ni Nini hiki?![emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafuatilia Kwa umakini mkubwa bunge, nimepata utata wa utofauti wa maneno haya MKATABA, AGREEMENT na Makubaliano, halafu hili la bandari yetu ni Mkataba, Agreement au Makubaliano? mana wabunge wachangiaji wanadai mkataba haujafika Bado! ukifika tuu wataupeleka bungeni😇

Wabunge wanautaja mkataba lakini wanaukataa Tena kuwa siyo mkataba,basi watuambie ni Nini hiki?!
Natamani bunge lingekuwa na watu kama akina Tundu lissu,Mbowe,Zitto labda ningepata vitu tofauti kidogo.

Mimi siyo mwanasheria.

Mimi mwenyewe siwaelewi. Spika alianza kwa kusema mkataba umekuja tuupitishe, ila wabunge wanasema sio mkataba ni makubaliano. Ila juzi Mkurugenzi wa TPA kadai wamesign mkataba tayari. Nadhani Kuna ujanja unatumika hapa.
 
Lkn Hata Tundu Lissu alipigwa za Uso
Kumbuka Ile Case Ya Uchaguzi
[emoji23][emoji23][emoji23]

Kesi gani ya uchaguzi?. Ile kesi ya mita 200 mahakama ndio ilikuwa bias.
 
Hii issue wameiendea kimihemko sana
Kwa sasa wengi wataonekana hawakuwa SAHIHI akiwemo MBOWE

Katika hili namuona mzee wa FURSA Zitto akiibuka KIDEDEA, Hakukurupuka kupinga

Ingekuwa vema kama wabunge wangejielekeza KUBORESHA vifungu ambavyo haviko sawa, sasa watuweengi huku nje waliingiza ya Uongo sana halafu kwa Sasa Serikali na yenyewe imejikita kuonyesha Ile Uongo ulioenezwa NA BUNGE NALO WENGI WA WABUNGE WAMEUNGANA NAYO
At the end vifungu vinavyohitaji tafakuri ya kina ili viboreshwe vitapitishwa vilevile

Lakini katika Uchambuzi wa Mambo kwa Utulivu Tundu Lissu hawezi Kusimama na Tulia
Kama tukiweka pembeni ushabiki
Tulia ana kipi Cha maana?. Zaidi ya kubebwa?. Usimlinganishe huyo kilaza na Lissu.
 
Mbowe yupo sahihi.
 
Tulia ana kipi Cha maana?. Zaidi ya kubebwa?. Usimlinganishe huyo kilaza na Lissu.
Huenda
Japo sijawahi kujua ukilaza wake
Ninachojua mmoja kamfundisha mwingine
Halafu walishakutana kwenye kupima ukilaza Wote wawili mmoja ambaye ni Lissu akaangukia pua
Inawezekana ni Kilaza kweli
 
Back
Top Bottom