Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,772
- 4,544
Kasome hata Sheria za ngono basiNafuatilia Kwa umakini mkubwa bunge ,nimepata utata wa utofauti wa maneno haya MKATABA,AGREEMENT na Makubaliano,halafu hili la bandari yetu ni Mkataba,Agreement au Makubaliano?mana wabunge wachangiaji wanadai mkataba haujafika Bado!ukifika tuu wataupeleka bungeni[emoji56]
Wabunge wanautaja mkataba lakini wanaukataa Tena kuwa siyo mkataba,basi watuambie ni Nini hiki?!
Natamani bunge lingekuwa na watu kama akina Tundu lissu,Mbowe,Zitto labda ningepata vitu tofauti kidogo.
Mimi siyo mwanasheria.
Mkataba ni nini na makubaliano ninini???Nafuatilia Kwa umakini mkubwa bunge, nimepata utata wa utofauti wa maneno haya MKATABA, AGREEMENT na Makubaliano, halafu hili la bandari yetu ni Mkataba, Agreement au Makubaliano? mana wabunge wachangiaji wanadai mkataba haujafika Bado! ukifika tuu wataupeleka bungeniš
Wabunge wanautaja mkataba lakini wanaukataa Tena kuwa siyo mkataba,basi watuambie ni Nini hiki?!
Natamani bunge lingekuwa na watu kama akina Tundu lissu,Mbowe,Zitto labda ningepata vitu tofauti kidogo.
Mimi siyo mwanasheria.
Unajua mkuu inawezekana labda serikali ina lengo zuri lakini implimentation 0. Kwa kujua kuwa kuna taharuki na watu wengi hawaelewi wangetumia muda kuwaelewesha watu badala ya kuwatisha na kuwashambulia.- Agreement is an understanding btn two or more parties setting mutual rights an obligations to be respected
- A contact is an agreement with a force of law.
Kinachojadilwa ni mkataba Kati ya Nchi na nchi Ili ku- guarantee ufanyikaji salama wa mikataba itakayofuata kuhusisha Taasisi zao. Huu ni mkataba UMBRELLA. Baadae itakuja mikataba mahsusi kwa miradi na maeneo mahsusi.
Hapa ni Nchi tu zinatoa guarantee kuwa zitahakikisha smooth implemention kwa mikataba itakayokuja kiafikiwa baina ya Taasisi zilizo chini ya Nchi hizo ambazo zitakuwa DP world na TPA.
Ni kweli kabisa,wabunge wengi hawakijui wanachokijadili,hapa namuona HALIMA MDEE akipambana na DR TULIA, TULIA anampa za Uso HALIMAš¤£š¤£,haka kaspika level zake ni Tundulissu tu.Unajua mkuu inawezekana labda serikali ina lengo zuri lakini implimentation 0. Kwa kujua kuwa kuna taharuki na watu wengi hawaelewi wangetumia muda kuwaelewesha watu badala ya kuwatisha na kuwashambulia.
Hivi kuna shida gani kuandaa mdaharo wa wanasheria wa serikali wakazungumza nini kinafanyika na kuna tofauti gani kati ya agreement na contract, wenye maswali wakauliza basi watu wakaelewa. Huenda hata kuna wabunge hapo wanachangia lakini nao hawaelewi ukizingatia sifa ya kuwa mbunge ni kusoma na kuandika.
Nashukuru mkuu,Ina maana kinachojadiliwa Leo bungeni siyo contract?- Agreement is an understanding btn two or more parties setting mutual rights an obligations to be respected
- A contact is an agreement with a force of law.
Kinachojadilwa ni mkataba Kati ya Nchi na nchi Ili ku- guarantee ufanyikaji salama wa mikataba itakayofuata kuhusisha Taasisi zao. Huu ni mkataba UMBRELLA. Baadae itakuja mikataba mahsusi kwa miradi na maeneo mahsusi.
Hapa ni Nchi tu zinatoa guarantee kuwa zitahakikisha smooth implemention kwa mikataba itakayokuja kiafikiwa baina ya Taasisi zilizo chini ya Nchi hizo ambazo zitakuwa DP world na TPA
Agreement = Makubaliano...nimepata utata wa utofauti wa maneno haya MKATABA, AGREEMENT na Makubaliano
Maneno "mkataba", "agreement", "makubaliano" na "contract" yanaweza kutofautiana kidogo katika matumizi yake, lakini kwa ujumla, yanarejelea makubaliano ya kisheria kati ya pande mbili au zaidi. Hata hivyo, kwa kiwango cha kina, kuna tofauti ndogo kati ya maneno hayo. Hapa ni maelezo ya kila neno na tofauti yake:MKATABA, AGREEMENT na Makubaliano
Mkataba=contract,Makubaliano ya kisheria but Agreement=Makubaliano holelaMkataba ni nini na makubaliano ninini???
Mkataba ni sawa na contract?kama ndiyo,kinachojadiliwa bungeni Leo ni kipi kati ya hivyo?MKATABA - ni makubaliano ya kisheria kati ya pande mbili au zaidi ambayo yanaweka haki na wajibu wa kila upande na yanaweza kutekelezwa kisheria iwapo kuna uvunjaji.
AGREEMENT - ni neno la Kiingereza linalomaanisha makubaliano au mkataba. Kwa Kiswahili, neno hili linaweza kutafsiriwa kama makubaliano au mkataba kulingana na muktadha.
MAKUBALINO - hayana nguvu ya kisheria lakini yanategemea imani na heshima ya pande zinazohusika. Makubaliano haya yanaweza kuwa ya kibinafsi au ya kitaasisi na yanaweza kuhusu shughuli mbalimbali za kila siku .
Nafikiri hili liko wazi sana,TUMEUZWA.Usipoteze mda kuweka umakini, Baba keshauza Shamba kwa tamaa zake, hakuna mjadala wa ukweli hapo, kiini macho hicho.
Nafikiri hili liko wazi sana,TUMEUZWA.
MKATABA - ni makubaliano ya kisheria kati ya pande mbili au zaidi ambayo yanaweka haki na wajibu wa kila upande na yanaweza kutekelezwa kisheria iwapo kuna uvunjaji.