Nimepata utata kwenye mjadala unaondelea bungeni, huu ni Mkataba au makubaliano?

Kesi gani ya uchaguzi?. Ile kesi ya mita 200 mahakama ndio ilikuwa bias.
Biasness??
Inawezekana
Inategemea Wewe uliyepima Hiyo Biasness ulisimama angle ipi
Maana wapo wengine wanaoona tofauti na Wewe kuwa Mahakama ilitenda Haki
 
Huenda
Japo sijawahi kujua ukilaza wake
Ninachojua mmoja kamfundisha mwingine
Halafu walishakutana kwenye kupima ukilaza Wote wawili mmoja ambaye ni Lissu akaangukia pua
Inawezekana ni Kilaza kweli
Lissu Yuko vizuri lakini huyu kimbaumbau ameanza kutema cheche kuonesha uimara wake,siwezi kumpimanisha na TUNDU LISSU kwani sifahamu kashinda kesi ngapi ukiachana na Ile ya 200M!
 
Lissu Yuko vizuri lakini huyu kimbaumbau ameanza kutema cheche kuonesha uimara wake,siwezi kumpimanisha na TUNDU LISSU kwani sifahamu kashinda kesi ngapi ukiachana na Ile ya 200M!
Kwani unayo rekodi Lissu kashinda ngapi rafiki
 
Lissu Yuko vizuri lakini huyu kimbaumbau ameanza kutema cheche kuonesha uimara wake,siwezi kumpimanisha na TUNDU LISSU kwani sifahamu kashinda kesi ngapi ukiachana na Ile ya 200M!
Sheria ikisimama kwa miguu yake
Siasa ikisimama kwa miguu yake
Unazi wetu ukasimama kwa miguu yake
Hata siku moja hutaona ukaribu wowote Kati ya Hao wawili
 
Wanapoteza muda. Wampatia Spika asimame na kuuinua juu kuwaonyesha wabunge na kuwauliza
Spika: "Ndiyo wenyewe siyo wenyewwe?",
Wabunge wajibu: "Ndiyo wenyeweee"
Spika: "Mnasemajeee!?"
Wabunge: "Umepitaaa"
 
Kwani unayo rekodi Lissu kashinda ngapi rafiki
Nnachojua ni kuwa Tundulissu ameshinda kesi nyingi kuliko TULIA ambaye naifahamu Moja tu aliyoshinda,kama Kuna zingine waweza nifahamisha mkuu,Mimi sina details za kutosha kumuhusu TULIA
 
Nnachojua ni kuwa Tundulissu ameshinda kesi nyingi kuliko TULIA ambaye naifahamu Moja tu aliyoshinda,kama Kuna zingine waweza nifahamisha mkuu,Mimi sina details za kutosha kumuhusu TULIA
Basi sawa mkuu
Hebu ibaki Kwamba Hawa Wote ni wanasheria wetu nchini
Tusonge mbele mkuu
 
Ni kweli kabisa,wabunge wengi hawakijui wanachokijadili,hapa namuona HALIMA MDEE akipambana na DR TULIA, TULIA anampa za Uso HALIMA๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ,haka kaspika level zake ni Tundulissu tu.
Mdee is a political lawyer. Hajawahi ku practice. Na ana sense of inferiority complex ya ubunge hewa
 
Nimewasikiliza wabunge kadhaa nimegundua wengi wao hawaelewi chochote zaid ya kufatisha tu script ya kuunga mkono hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ