wakuu kwema.?? hope mko salama.
leo nmetimiza mwaka tangu nimeoa.mungu ametubariki mtoto mmoja na anaendelea vizuri
nikiwa mwanaJF nimekutana na nyuzi nyingi zikiongelea suala la kuzama chumvini a.k.a kunyonya papuchi.
sasa juz nikaona nitest na mimi kwa mke wangu nilimpa taarifa kuwa leo ntakufanyia surprise ambayo hujawah fanyiwa na mm tangu nmekuoa akajibu poa mme wangu nasubili.
akili iliwaza ntapata wapi ujasiri wa kunyonya papuchi ukizingatia weng humu walidai kuna harufu mbaya wengne wakidai huwa wanatapika.
nikaona nipite kwa mangi nikachukua kvant ya baridi nikajitupia.
wakati wa mechi sikujua nilizama vipi chumvini (akili ya pombe hii)ila nina uhakika mdomo wangu niliushusha chini ya kitovu cha mwanamke.
baada ya siku 4 kupita nimekuja kushtuka ulimi wangu una vidonda mbele kama mviringo ivi.sijamwambia wife
kwa aliyewah kupata hili tatizo anifahamishe tiba tafadhali.
NIMEKOMA SIRUDII TENA
nimeambatanisha picha ya ulimi ulivyo sasahivi.
View attachment 1830852