Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Dom kuna baridi aisee.Wote wanao chat muda huu wamejawa na upweke
nakuonaga pale mitaa ya nit mkuu mshana jr au nakufananishaga? Mmh yawezekana ni Mimi haswawww.jamiiforums.com
Tusipokuwa makini, mimba zitaingia sana.
Shem, una upweke gani?
Mbona mabeibeee kibao wanakupendaga?
Hujuagi tu