Nimepata Visa ya Canada, mpango wangu ni kuzamia mazima (SIRUDI TENA)

Waambie wewe ni mwanaharakati wa ushoga na upo hatarini ukirudi tz pengine watakuelewa!
 
Waswahili wanasema kitanda usichokilalia hujui kunguni wake,
Ukiongea na diaspora wengi utagundua kwamba,kule kwa wenzetu
Tunaishi kwa sababu tunaishi,ila kodi zao ni balaa kinachosaidia ni kuwa na muda mwingi wa kutumika
kwa sababu,hakuna story za kwenda kwenye msiba na shughuli za kijamii,
kama tufanyavyo huku,ukitaka kuamini nisemalo angalia wahindi posta na kkoo ndo utanielewa.
 
Nenda ukasome The Safe Third Country Agreement (STCA) kati ya US na Canada, ndiyo utaelewa kwanini asylum seekers walikua wakitumia hiyo njia hatari ya kupita hiyo an official.
Huo mkataba unasema asylum seeker hawezi kuingia kupita katika moja ya nchi hizo na kuingia nyingine kuomba asylum. Yaani kama unatoka Mexico au Tanzania halafu ukapita port of entry ya US and Canada na kwenda kuomba asylum Canada, mkataba huo unataka Canada ikurudishe US au ukiingia Canada then uende US basi unatakiwa kurudishwa Canada.
Mkataba huu unaagiza watu kurudishwa mtu atakayeingia nchi hizi kutoka moja ya nchi hizi kupitia port of entry basi arudishwe upande alioungilia, sababu kwa Canada, US ni 'Safe Country' na kwa US, Canada ni 'Safe Country'. Ndipo watu wakaja na idea ya kuanza kutumia Roxam border sababu ile siyo official port of entry hivyo wakiingilia pale hawapaswi kurudishwa wala kuzuiwa. Hii ndiyo ilikua inapelekea watu kuingia wakitumia hii Roxam boarder. Sasa hivi sheria imebadilishwa, amnapo haitaji tena ukiingia kupitia port of entry, bali ukiingia kutoka upande mwingine bila kujali ulipita port of entry au lah, ili mradi umeingia kutoka US or Canada basi utarudishwa upande ulioingilia. Hii itazidi kupunguza idadi ya wakimbizi kwenda Canada.
Bila hii sheria Canada ingekuwa na wakimbizi wengi kuliko US, maana yeye aylum seekers anahudumia kama mtoto wa mwishovau mtoto pekee, wakati US akishakupokea asylum seeker you are on your own, subiri miezi sita ipite ili wakupe vibali vya kufanya kazi uendelee kujitafutia , wakati Canada watakupima Canada you be granted the followung services, kama nilivyoi copy;
  • greeting at the airport,
  • temporary housing,
  • help with finding permanent housing,
  • help with registering for mandatory federal and provincial programs,
  • orientation to the community, a service that includes
    • providing contacts for safety and emergency services,
    • introducing refugees to the city where they have settled,
    • explaining
      • public transportation,
      • Canada's education and health care systems,
      • Canadian laws and customs, and
      • the local climate,
  • personal finance help in areas such as
    • budgeting,
    • setting up a bank account and
    • using debit and credit cards,
  • basic "life skills" support for high needs clients, and
  • referrals to other refugee programs.
Canada provides income support under the RAP to eligible refugees who cannot pay for their own basic needs. Support can include a:

  • one-time household start-up allowance, and
  • monthly income support payment.
The level of monthly financial support is generally based on the prevailing provincial social assistance rates in the province where the refugees settle. Financial support can last up to one year after a refugee arrives in Canada, or until they can support themselves, whichever occurs first.

Mkuu nimesoma almost all of the comments up in here and it seems you are well-informed. Naomba kuuliza maswali kadhaa na kama utapata nafasi ya kuyajibu yote nitashukuru sana;

1. Ku'seek for asylum ni lazima uwe na valid basis ambayo inaweza kuwa proved? (i.e if someone claims that he/she is affiliated with the LGBTQ community, either in practice ama advocacy, ni lazima awe na tangible evidence?)

2. Asylum inatolewa hata kwa mtu asiekua na documents zozote, I'm talking down to the bloody passport, ama unakua obliged kulipia documents na logistics zote?

3. In case mtu wa aina hii akifanikiwa kwenda na after a year or two akaamua kurudi nchini kwake for any reason say mazishi ama sherehe, anaruhusiwa?
 
Swali lako la kwanza, jibu ni ndiyo, lazima wajiridhishe. Hivyo tangu unaondoka ni lazima utengeneze mazingira. Kinyume cha hapo ni ngumu. Ingawa, kwa wale wenzetu wapo very sensitive na usalama na uhai wa mtu, kiasi kukutosa poa huwa ngumu . Ikitokea wamekurudisha halafu likakupata la kukupata nchini mwako, wananchi wakiinasa ujue hapo zitaibuka kelele kutoka kwa wananchi na makundi ya kijamii kiasi cha kuinyima serikali usingizi na kulazimika kujieleza sana.

Ili uweze kuomba asylum, documents unazohitajika kuwa nazo ni Passport yako (lazima wajue uraia wako) na Visa (lazima wajue uliingiaje), then evidence inayodhihirisha kuwa kuwepo nchini mwako kuna hatarisha usalama wako. Hii hutofautiana kulingana na case iliyopelekea uikimbie nchi na kwenda kuomba asylum. Kuhusu malipo, huwa hakuna malipo forms za ni bure, ila ukitumia Mwanasheria (US case) utatakiwa uandae kati ya US$ 2,000 hadi 10,000$ kulingangana na Mwanasheria utakayemtumia, kuna kuunganishwa na Daktary wa Saikolojia atakayekufanyia conselling kwa miezi 2 or 3, then ataakupa chet. Ni document muhimu kwenye kuambatanisha kwenye maombi yako ya asylum .

Ila kuna refugee na asylee. Ukianzia kuomba nchini mwako, wewe ni refugee, ukiomba wakati umeshafika, wewe ni asylum seeker, ukikubaliwa utaitwa asylee.

Documents nyingine za kuku support.
Mfano, unaweza uka submit kadi inayodhihirisha wewe ni mwanachama wa Chama fulani cha siasa, au movement fulani ya jaki za binaadam na events ulizoshiriki. Sababu zinazopelekea uhisi haupo salama, wito wa Polisi, taarifa za vyombo vya habari/mitandao, malipo (incase ulikua black mailed) majeraha mwilini, report ya conselling kama ulipitia psycho tourture.

Mashoga pia ni rahisi zaidi, itabidi upige picha umejipodoa huku umevaa nguo za kike na kutupia mitandaoni na kuthibitisha ushiriki wa matendo yako hayo, na kwamba una bwana. Hapa Afande Rama akiamua kwenda Canada watampokea kwa matarumbeta na kumtandikia red carpet (Just Kidding😀).

Kwa wanawake wanaweza wao wana visa vingi zaidi, kuna kuwahi kubakwa, kukeketwa (anaweza akawa aliwahi kukeketwa, so akipata mtoto wa kike anakwenda kuomba asylum akiwaelezea kuwa anahofia usalama wa bint yake sababu jamii atokayo wana utamaduni wa kukeketa na yeye ni muathirika.
Pia unaweza sababu ni shahidi wa kesi fulani, au Mwandishi wa habari, ikapelekea uwe hatarini au kwa kuwa ni mtetezi wa haki za watu pia ikakuweka in the same position

Ukishapewa asylum status na kuwa asylee, hautatakiwa kurudi nchini mwako kwa sababu yoyote ile. Nchi nchingine zote unaweza kwenda lakini si nchini mwako. Pia haishauriwi uwe unatoka toka kwenda hizo nchi nyingine. Kuna siku unaweza ukawa unarudi ukashangaa unakataliwa at the port of entry, na ikitokea umetoka unatakiwa kutoa taarifa kwa mamlaka au mwanasheria wako.
kwa Canada hizi issue unatakiwa ku deal nao mwenyewe, no mwanasheria, ila US unaweza ukafanya mwenyewe au ukaweka mwanasheria.
dijui kwa nini hadi sasa Roma hajaita familia yake. Inawezekana hakuomba appointment ya kwenda kufanya interview. Hii huchukua muda mrefu sana, huweza kuchukua hadi miaka minne, wapo watu wana miaka hadi nane wanasubiri. Lakini ukiomba appointment unaongea tu ma EMMA, utafanyiwa mapema mno. Nadhani watu wengi ikifika miezi mitano huomba vibali wya kufanya kazi na wakishapata vibali vya kufanya kazi wanakua wanapotezea appointment ya interview wasije wakadandiwa na kurudishwa nchini mwao. Maana US wanafuatilia sana wale jamaa, so wengi huamua kiroho safi kuendelea na maisha.
Wajuvi watajazia mimi nimegusagusa tu.
 
Aiseee mkuu asante sana kwa time yako. Nimepata majibu yote niliyoyahitaji.
Barikiwa sana.
 
Jizime data sema wewe ni LGBTQ 🏳️‍🌈 watakupa kinga
 
Aiseee mkuu asante sana kwa time yako. Nimepata majibu yote niliyoyahitaji.
Barikiwa sana.
At first watu wenye asylum walikua wanatumia mbinu, kama asylee ni mtanzania alikua anakwenda Kenya, akifika Kenya anavuka border kwa Magendo kuingia Tanzania bila ya kugonga passport (maana wakijua tu kwamba ulienda nchini kwako, unapoteza asylum.status na kurudishwa kwenu). Kimyakimya akimaliza issue zake, anavuka border tena kimagendo ma kurudi Kenya then US.
Leo wametoa taarifa rasmi kuwa kama wewe ni asylee na umepata emergence nchini kwako kama vile kufiwa n.k na ungependa kuungana na ndugu zako, basi unaruhusiwa kuomba permit imsyokuruhusu kwenda nchi jirani na nchi yako kuungama na ndugu zako (lakini hutakiwi kuingia nchini mwako).
Hii sasa ni rasmi kwamba kama wewe ni asylee, unaomba permit kuwa unakuja Kenya kuonana na ndugu au familia yako utakayokutana nayo ikitokea Tanzania.
 
Shule bila ada....Asante mkuuu nmepata shule hapa
 
Wakuu naombeni ushauri wenu mimi nimesomea Certificate of electrical installation level three (three years veta) na nina experience ya 5 years nikienda Canada kutafuta maisha Kwa uzoefu wenu nitatoboa?
 
Tafuta tobo uende US ukajiunge na Community College.
 
At first watu wenye asylum walikua wanatumia mbinu, kama asylee ni mtanzania alikua anakwenda Kenya, akifika Kenya anavuka border kwa Magendo kuingia Tanzania bila ya kugonga passport (maana wakijua tu kwamba ulienda nchini kwako, unapoteza asylum.status na kurudishwa kwenu). Kimyakimya akimaliza issue zake, anavuka border tena kimagendo ma kurudi Kenya then US.
Leo wametoa taarifa rasmi kuwa kama wewe ni asylee na umepata emergence nchini kwako kama vile kufiwa n.k na ungependa kuungana na ndugu zako, basi unaruhusiwa kuomba permit imsyokuruhusu kwenda nchi jirani na nchi yako kuungama na ndugu zako (lakini hutakiwi kuingia nchini mwako).
Hii sasa ni rasmi kwamba kama wewe ni asylee, unaomba permit kuwa unakuja Kenya kuonana na ndugu au familia yako utakayokutana nayo ikitokea Tanzania.

Jana nililiwaza hili la kuingilia hapo Kenya kwa ndugu zetu ili kuja bongo kusalimia wazazi, kumbe ni mbinu common tu. Aisee! asante kwa elimu ya bure hii mkuu, sikujua kama asylee haruhisiwi hata kutembelea nchi yake. We need a change of plans kwakweli maana hii itakua jela ya kujitafutia unless mtu asiwe na watu muhimu huku nyumbani.

Kwahiyo kiufupi status ya kuwa refugee ama asylee ni mpaka uwe ushatoka kwenye nchi yako na kufika nchi husika? As in, huwezi in any circumstance kupelekwa kule na embassy yao hapa nchini?
 
Ili Upelekwe kule kutokea nchini mwako, unatakiwa uanzie UNHCR. Huko wataangalia kama unakidhi vigezo, na vitu vingine vingi. Then wao mdiyo watawasiliana na Embassy ya nchi utakayopelekwa au uliyoichagua na hapo taratibu za kukusafirisha zitaanza.
Angalia cases mbili maarufu za hivi karibuni, ile ya Tundu Lissu na Godbless Lema.
Tundu Lissu baada ya uchaguzi mkuu, alipata taarifa kuwa kuna watu wametumwa kumkamata. Baada ya yaarifa hiyo aliamua kukimbilia pale ubalozi wa Umoja wa Ulaya, akiwa pale Polisi kweli walifika na kumkamata mbele ya ubalozi na maofisa wa ubalozi. Huyo ubalozi ulishughulikia moja kwa moja swala lake la kuondoka nchini.

Lema alikimbilia Kenya, kule kwa msaada wa Mwanasheria Wajackoya alipelekwa UNHCR wakafanya taratibu zote na then wakamsafirisha kwenda Canada. Ingawa sasa hivi Lema ameshaiua status yake na akienda ataenda tu kutembelea familia yake.

Hivyo ikitokea umefanikiwa kupewa asylum, baadaye ukaweka mambo yako sawa ikiwemo kuhamishia familia yako kule na mwenzi wako akawa na vibali halali vya kazi, hapo unaweza ukajivua asylee status kwa kwenda nchini mwako. Then kurudi itakubidi mwenzi wako akupe invitation na uombe visa kuwa unaenda ku visit your family then huko utafanya mipango mingine uweze kuwa permanent resident.
 
Mkuu shukrani sana sana sana sana sana. Yaani napata darasa kabisa hapa. Asante sana.
 
Aya wa visit visa
Ongeza na eduglyx
 
Attachments

  • Screenshot_20230729-222326_Instagram.jpg
    Screenshot_20230729-222326_Instagram.jpg
    102.8 KB · Views: 43
  • Screenshot_20230729-202353_Instagram.jpg
    Screenshot_20230729-202353_Instagram.jpg
    121.3 KB · Views: 42
Kabla ya kuondoka ,tengeneza mazingira na documents za kuonyesha wewe ni shoga[emoji3][emoji3]wapange ata jamaa zako wajifanye wamekufumania unataka kuliwa mzigo Kisha kareport police wamekuvamia kisa ushoga ,zitunze documents zote Kisha,tafuta organization yoyote inayosupport ushoga jiandikishe na uwe na documents za uanachama,Kisha sepa Canada ukifika tu tafuta LGBTQ organization jiandikishe na wape stori yako ya kukimbia Tanzania kwa sababu ya kutishiwa maisha kwa sababu wewe shoga,Kisha tafuta lawyer akupe msaada WA kuomba hifadhi Canada ya kuishi kwa sababu hauwezi kurudi Tanzania,kwa sababu ya kuhatarisha maisha yako,hii mbinu ukiitumia unapata permit ya kuishi na kufanya kazi,hii mbinu watu WA Uganda wengi wataitumia
What if wakataka wajiridhishe kama wew ni shoga kweli
 
Kabla ya kuondoka ,tengeneza mazingira na documents za kuonyesha wewe ni shoga😀😀wapange ata jamaa zako wajifanye wamekufumania unataka kuliwa mzigo Kisha kareport police wamekuvamia kisa ushoga ,zitunze documents zote Kisha,tafuta organization yoyote inayosupport ushoga jiandikishe na uwe na documents za uanachama,Kisha sepa Canada ukifika tu tafuta LGBTQ organization jiandikishe na wape stori yako ya kukimbia Tanzania kwa sababu ya kutishiwa maisha kwa sababu wewe shoga,Kisha tafuta lawyer akupe msaada WA kuomba hifadhi Canada ya kuishi kwa sababu hauwezi kurudi Tanzania,kwa sababu ya kuhatarisha maisha yako,hii mbinu ukiitumia unapata permit ya kuishi na kufanya kazi,hii mbinu watu WA Uganda wengi wataitumia
Kumbe hata yule shoga Dayon Monson alitumia hii njia...duuuh hatari sana..sasa hivi kabadili jinsia kawa mdada kabisaa...😀
 
Back
Top Bottom