Nimepata Visa ya Canada, mpango wangu ni kuzamia mazima (SIRUDI TENA)

Nimepata Visa ya Canada, mpango wangu ni kuzamia mazima (SIRUDI TENA)

Nakubaliana nawe. Wamechoshwa na hawa watu ukiachia mbali wengine wakiingia wanakuja na ugaidi wao
Hata kupata kazi nzuri ngumu especially GTA maafisa uajiri wengi ni wadosi,wakiona jina masanja wanatupa kwenye dustbin application yako
 
Hata kupata kazi nzuri ngumu especially GTA maafisa uajiri wengi ni wadosi,wakiona jina masanja wanatupa kwenye dustbin application yako
Kazi nzuri Canada ni ipi??? Canadians are very loyal(100%) to their government, hapa hata uje na Ph.D. watakwambia you are over qualified ( kama una elimu ya UK) at least wanaweza kukusikiliza

Ukiwa na Canadian diploma unaajirika haraka sana kuliko Ph.D. ya Makerere University.

Kazi hapa ni kazi, I worked in a warehouse when I arrived and was paid $18/hr (44hrs per week) ambayo kwa Toronto unalipwa $19/hr na kazi zote inafanya Mashine

Sas kazi nzuri ni ipi unayoongelea? Ukifika hapa usitake ujilinganishe na mtu mwenye miaka 4+ unataka kazi ya uhasibu kisa una UDSM degree ndio una miezi 6, haiendi ivo
 
Kama sikosei nasikia Canada ni moja ya nchi zinazotafuta wataalamu wa fani mbali mbali kwa ajili ya kufanyakazi katika sekta mbalimbali! Kwa hiyo kama una fani ambayo wanaihitaji HUENDA wanaweza kukuchukua.
Lakini kama wewe ni mzururaji wa huku,huna elimu yo yote sijui.
 
Acha wamle si ndiyo akili yake. Basha hawawataki huku. Wao wanatangaza usenge.
Acha kumkatisha tamaa baharia mwache ajilipue maisha popote,binafsi kabla sijafikiria kubinjuka nilitishwa sana sijui unapata faida gani kumtisha!!
 
Mkuu, sio kazi yangu kujua sexual orientation za watu wala sitaki kujua. Kama mtu kaamua kuomba asylum kwa njia hiyo ili kupata nafuu ya maisha then by all means they should go for it so long as hawamdhuru mtu mwingine in th process. Kuna watu wanaua, wanaiba, kuna mafisadi wanakomba hela za kujenga mahospital huko na bado tunaona hao ni wema kuliko mtu aliyeamua kujiita shoga ili apate nafuu ya maisha yake na familia yake ilhali ndani ya nafsi yake sio shoga. I don't see anything wrong with that.

Wanawake wanaomba asylum kwa kigezo cha female genital mutilation. Roma kaomba kwamba alitekwa. Lema political asylum. Wengine religious asylum etc etc. At the end of the day asylum haiandikwi ulipewa kwa sababu gani exactly, so wote mnakua in the same spectrum.

Kama mtu hana sababu nyingine na kaona aseme yeye ni shoga kama kipindi kile cha Makonda aombe. I have no problem with that. But again to each their own.
asylum unakuwa maanisha nini
 
Mkuu mie NAKUTIA moyo,tafuta mke mengine yata ji set
 
From Passport to Visa Applications & Appointments.
Social Media Banner.jpg


Karibuni tuwahudumie
 
Back
Top Bottom