binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Poleni kwa msiba ndugu.
Alale salama Babu.
Alale salama Babu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubafika shule ya msingi Kiurei?
Utanipitia hapa White Rose[emoji257]
[Inawezkana hua tunapishanaga njiani][emoji125]
Pole lakini kwa kufiwa mkuu, stay strong
Asante Sana Mkuuu,nitaendelea kutoa Updates kwa njia ya Picha hapa kwa hii thread MKUUPole sana Mkuu, tutapeana updates nikiwahi kurudi nitajumuika
Pole Sana mkuuJamii Forum ni mtandao wa watu ni Jamii yenye watu wote kama tulivyo mitaani,Nimepatwa na MSIBA wa babu yangu mzaa MAMA (baba wa mama yangu) naelekea Arusha siku ya kesho Usiku mida ya saa 1 hivi nitaianza safari.
Nimetamani na nimejisikia kuomba mwana JF uliepo Arusha tujumuike pamoja kuelekea msibani (nyumbani kwetu) maziko yatafanyikia MOSHI siku ya JUMANNE lakini tumeanza kuwasili nyumbani kuanzia jana umauti ulipomchukua BABU.
Nawaomba wana JF mliopo ARUSHA tujumuike pamoja katika IBADA hii ya mwisho kwa BABU yangu,uwepo wako tu utakua faraja kwangu/mama/wajomba na watu wengine wa familia.
Nyumbani ni SAKINA mtaa wa Ilkiurei TRIPLE A ilipo ile njia inapandisha kule juuu huko ndio nyumbani,yeyote ulie karibu utakae weza jumuika pamoja nami karibu sana,tuianze safari pamoja.
Ombi langu ni Kampani yenu tu twende pamoja..kwa Wale mtakaoguswa tu katika hili.
Kwa atakaehitaji kuungana nami ARUSHA Tar 29 karibu sana nyumbani,Nipigie nitakuelekeza Nilipo au nitakufuata kukuleta nyumbani.
NAMBA ZANGU ZA SIMU kwa mtakaotamani kuungana nami Karibu PM.