Nimepatwa na msiba, kwa atakayetaka kuja kuomboleza nami karibu

Ubafika shule ya msingi Kiurei?
Utanipitia hapa White Rose[emoji257]
[Inawezkana hua tunapishanaga njiani][emoji125]

Pole lakini kwa kufiwa mkuu, stay strong

Mkuu we ndo upo kwenye zile ofisi za kampuni za utalii?
 
Pole sana Mkuu, tutapeana updates nikiwahi kurudi nitajumuika
Asante Sana Mkuuu,nitaendelea kutoa Updates kwa njia ya Picha hapa kwa hii thread MKUU

uKIpata nafasi usiache kujumuika nitafarijika na nitafurahi pia,karibu Mkuu nakuombea ufanikishe.
 
Moshi mtazika wapi? Leo naenda moshi nipo kibo hapa nasubiri kapricon ije.
Moshi tutazika Uswaa! Ukipanda daladala za Uswaa (pale kwa sadala) utashuka kituo cha MAKARO kanisani K.K.K.T basi ukinipgia simu nitakufata Mkuu,Karibu.
 
Pole Sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…