Dogo kama unataka majibu ya kweli kweli hapa JF umeloba, ila kama ni furahisha baraza hapo powaaaaa. Hii ndo JF bwana kama ulikuwa hujui.Mkuu ulishawahi kusikia popote ugonjwa kama huu?? Maana nina stress hapa sijui nianzie wapi! ...asante kwa ushauri wa mwanzo
hahaha dah.. mambo mengine bana inabidi ucheke tuuNa
Na mchungaji atashika wapi wakati anasema baba katika jina la yesu pepo toka🙂🙂
Ukikigusa kinauma, hakijaingia ndani na kinatoa maji kwa mbali...Hicho kidonda kipoje!? Nijibu kwa kutumia hizi criteria...
a.Ukikigusa kinauma au hakiumi yaani painless?
b.kimeingia ndani(kama kishimo) au kimeinuka juu!??
C.kinatoa maji au ni kikavu!??
Nikipona hili lazima nitulize ball maana hili ni fimbo ya mwenyezi munguMichepuko sio dili!
Sehemu nyingne selfie inagoma aiseeWeka picha ili tuone tatizo tukushauri.
Nimezingatia ushauri wako murua.mkuu wahi kwa dokta muonyeshe hicho kitu
Ukosefu wa imani na kutokujua utendaji kazi wa nguvu za Mungu.Na
Na mchungaji atashika wapi wakati anasema baba katika jina la yesu pepo toka🙂🙂
Upo eneo gani ndugu?.Wapi hapo kuna kanisa la kiroho la ukweli?? Je umewahi sikia ushuhuda wowote kuhusu hili???
Wanaume tunazidi kupungua ndo maana mdau kamwambia awahi.Idadi ya akina nani wachache?