Nimepatwa na ugonjwa wa ajabu kwenye pumbu!

Nimepatwa na ugonjwa wa ajabu kwenye pumbu!

Mkuu ulishawahi kusikia popote ugonjwa kama huu?? Maana nina stress hapa sijui nianzie wapi! ...asante kwa ushauri wa mwanzo
Dogo kama unataka majibu ya kweli kweli hapa JF umeloba, ila kama ni furahisha baraza hapo powaaaaa. Hii ndo JF bwana kama ulikuwa hujui.
 
Hicho kidonda kipoje!? Nijibu kwa kutumia hizi criteria...

a.Ukikigusa kinauma au hakiumi yaani painless?

b.kimeingia ndani(kama kishimo) au kimeinuka juu!??

C.kinatoa maji au ni kikavu!??
 
[
Hicho kidonda kipoje!? Nijibu kwa kutumia hizi criteria...

a.Ukikigusa kinauma au hakiumi yaani painless?

b.kimeingia ndani(kama kishimo) au kimeinuka juu!??

C.kinatoa maji au ni kikavu!??
Ukikigusa kinauma, hakijaingia ndani na kinatoa maji kwa mbali...
 
Doh doh doh.......hiyo ni taarifa ya popobawa mkuu.....
Usipuuze kabisa.....huwa wanakuja kwa namna hiyo......
Cha kufanya....hana hiyo nyumba......na ufunge hapo sehemu na kamba ya mgomba.......
 
Haya mambo ya kutumia topaz mara kumi onana sasa!!!!


Au ni hizo boxer


Au ni zile love bites nazo pia zinakuwa hivyo...
 
picha ingetusaidia sana dactari inakua ngumu sana kutibu bila kumwona mgonjwa
 
Inawezekana umepata kaswende sugu.Nenda zahanati ukapime kipimo cha syphilis kiitwacho VDRL.
 
Hicho kidonda kitaalam kinaitwa 'chancre' , zinaweza kuwa ni dalili za ugonjwa wa kaswende.
 
Back
Top Bottom