Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Wako njema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa jamaa wa mipango miji nyambaff kabisa sijui hata huko vyuoni huwa wanafundishana nini. wananzengo wakitulia wenyewe wanaweza kufanya la maana sana ila sio hawa jamaa.Umeharibu kabisa sasa, wazee wa mipangomiji watatua na ramani zao uchwara, watajidai kurekebisha matumizi na kuanza kuuza viwanja, watakatakata kama viazi vya chips viwe vingi.
Yaani mipango miji hapa Tanzania ni kizungkuti aisee. Miji yote ni uwanja wa fujo. Mimi huwa najiuliza hizo DC huwa wanafanya nini huku kwenye miji midogo inayokuwa kwa kasi?
Angalia pale mafinga, mji unakuwa ila sasa, shaghala bhaghala. Ona pale Iringa hapo stand ya zamani pogolo wamejenga hovyo. Yaani aaaa hata mitaa hakuna vurugu tu. Ona Makambako mji unajiendea tu, hamna mipango yoyote mji mbovu kama nini. Yaani tufike mahali hawa watendaji wawe ndio wasimamizi wa miji hii maana mmm. Angalia Mbeya napo hovyo kabisa.