TikTok2020
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 1,816
- 3,150
Leo ilikuwa ni siku ya kumbukumbu ya siku iliyotangazwa kifo cha mpendwa Rais wetu Hayati Magufuli ukweli wa kilitokea lini tuachane nayo.
Kilichonifurahisha leo
ni namna ambavyo siku hiyo imeadhimishwa kwa misa maalum ya kumuombea badala ya kufanyika kiserikali kitu ambacho kingejaza wanafiki watupu.
Napongeza wazi hilo liwe endelevu na Mungu awasimamie familia.
Tunamshukuru Mungu Kwa maisha ya Hayati Magufuli.
Sisi wote ni mavumbi na wote tutarudi mavumbi ni suala la muda tu.
Mungu ni wetu sote.