TikTok2020
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 1,816
- 3,150
Soma vizuri hapo juuKwani ingefanyika kiserikali ungepungukiwa nini boss
Bi salute kwa mzee baba hatutetereki!Leo ilikuwa ni siku ya kumbukumbu ya siku iliyotangazwa kifo cha mpendwa Rais wetu Hayati Magufuli ukweli wa kilitokea lini tuachane nayo.
Kilichonifurahisha leo
ni namna ambavyo siku hiyo imeadhimishwa kwa misa maalum ya kumuombea badala ya kufanyika kiserikali kitu ambacho kingejaza wanafiki watupu.
Napongeza wazi hilo liwe endelevu na Mungu awasimamie familia.
Tunamshukuru Mungu Kwa maisha ya Hayati Magufuli.
Sisi wote ni mavumbi na wote tutarudi mavumbi ni suala la muda tu.
Mungu ni wetu sote.
Hata kumbukumbu ya kifo cha Mkapa na cha Nyerere hufanyika hivyohivyo.... Sijui kwanini hii ya Meko imekuwa habari mpaka uianzishie uzi..Leo ilikuwa ni siku ya kumbukumbu ya siku iliyotangazwa kifo cha mpendwa Rais wetu Hayati Magufuli ukweli wa kilitokea lini tuachane nayo.
Kilichonifurahisha leo
ni namna ambavyo siku hiyo imeadhimishwa kwa misa maalum ya kumuombea badala ya kufanyika kiserikali kitu ambacho kingejaza wanafiki watupu.
Napongeza wazi hilo liwe endelevu na Mungu awasimamie familia.
Tunamshukuru Mungu Kwa maisha ya Hayati Magufuli.
Sisi wote ni mavumbi na wote tutarudi mavumbi ni suala la muda tu.
Mungu ni wetu sote.
Coverage ni kubwa Sana hiyo ulitaka na wanafiki kama nyie muomboleze wakati tunawatambua,Kwa akili yako ndogo huchelewi kusema angekuwepo flani na flani ingeonekana kubwa Kwa taarifa yako uwepo WA Kardinali Pengo Tu Jana umewakilisha maelfu ya WATANZANIA ni mzito kuzidi hata angeenda samia au jkMlidhani ingepata coverage kubwa, Cha kushangaza hakuna aliyekua na time na hiyo issue. Sasa mnakuja kujitia moyo humu Ili kupunguza stress ya mlichokiona!!
Poleni sana Sukuma Gang
Alikuwa Rais wa nchi ukifa were hakuna atakaeanzisha uziHata kumbukumbu ya kifo cha Mkapa na cha Nyerere hufanyika hivyohivyo.... Sijui kwanini hii ya Meko imekuwa habari mpaka uianzishie uzi..
Sukuma gang mnateseka sana na mungu wenu wa Chattle
Hata shetani ana uzi, hilo lisikuchanganye sana. Kikubwa ni je uzi wako ni wa kuonyesha u-mfuasi wa shetani au ni wa kunyesha kujitambua na kukemea vitendo viovu vya kishetani??Alikuwa Rais wa nchi ukifa were hakuna atakaeanzisha uzi
Acha wivu
Nchi huru hii
Mkapa hakuwa Rais wa nchi?Alikuwa Rais wa nchi ukifa were hakuna atakaeanzisha uzi
Acha wivu
Nchi huru hii
Ni kupoteza muda na fedha za walipa kodi.Kwani ingefanyika kiserikali ungepungukiwa nini boss
Hata mfanye ibada milioni hawezi kuepuka jehanam ya moto, wacha ateseke tuLeo ilikuwa ni siku ya kumbukumbu ya siku iliyotangazwa kifo cha mpendwa Rais wetu Hayati Magufuli ukweli wa kilitokea lini tuachane nayo.
Kilichonifurahisha leo
ni namna ambavyo siku hiyo imeadhimishwa kwa misa maalum ya kumuombea badala ya kufanyika kiserikali kitu ambacho kingejaza wanafiki watupu.
Napongeza wazi hilo liwe endelevu na Mungu awasimamie familia.
Tunamshukuru Mungu Kwa maisha ya Hayati Magufuli.
Sisi wote ni mavumbi na wote tutarudi mavumbi ni suala la muda tu.
Mungu ni wetu sote.
Ingekuwa haina coverage ungeisemea hapa? Grow up sister.Mlidhani ingepata coverage kubwa, Cha kushangaza hakuna aliyekua na time na hiyo issue. Sasa mnakuja kujitia moyo humu Ili kupunguza stress ya mlichokiona!!
Poleni sana Sukuma Gang
Coverage ni kubwa sana miongoni mwa watu hebu angalia wasap status kwenye simu yako wangap wamepost picha yake. Bado anaishi kwenye moyo ya watuMlidhani ingepata coverage kubwa, Cha kushangaza hakuna aliyekua na time na hiyo issue. Sasa mnakuja kujitia moyo humu Ili kupunguza stress ya mlichokiona!!
Poleni sana Sukuma Gang
Hapana status yangu nimeona mmoja pekee wengine wote walipost meme za mechi ya arsenal.... Meme za Famasiala n.k. no one was interested na issue ya mfu wenu.Coverage ni kubwa sana miongoni mwa watu hebu angalia wasap status kwenye simu yako wangap wamepost picha yake. Bado anaishi kwenye moyo ya watu
Watumiaji wa smart phone Tanzania wako wa ngapHapana status yangu nimeona mmoja pekee wengine wote walipost meme za mechi ya arsenal.... Meme za Famasiala n.k. no one was interested na issue ya mfu wenu.
Huko chato ndio kabisa hata sukuma gang hawajakanyaga!! Poleni sana hii ndio Dunia, ukishaondoka wanafiki wote wanakusahau.