Nimependa maadhimisho ya miaka miwili ya kifo cha Hayati Magufuli

Watumiaji wa smart phone Tanzania wako wa ngap
Mbona hamueleweki, mara kapostiwa sana mara Tena unahoji smartphone zipo ngapi. Yaani unataka kusema wanaompenda hawana smartphone!! Msitumie nguvu sana kumpamba kama angekua anakumbukwa sana basi Jana tungeona concerts kibao zimefanyika, ibada mbalimbali, exhibitions n.k.
 
Mnajifariji baada ya Serikali na Wananchi kuwasusia.
 
Poleni sana Sukuma gang, ila hamna chenu tena. Nawashauri mlale tu juu ya kaburi muomboleze tu. Angalizo Sukuma gang wenzenu wengine wameshaanza kuwasaliti
 
Coverage ni kubwa sana miongoni mwa watu hebu angalia wasap status kwenye simu yako wangap wamepost picha yake. Bado anaishi kwenye moyo ya watu
So Serikali imepotezea ila wasap wakatoa coverage?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hebu pita hapa

 
So Serikali imepotezea ila wasap wakatoa coverage?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu pita hapa

 
Maadhimishe leo tarehe 19, viwanja vya Uhuru wapendwa .
 
Wacha kujikaza kisabuni tu maana hakuna mtu angeweza kwenda kupoteza muda wake
 
Hata kumbukumbu ya kifo cha Mkapa na cha Nyerere hufanyika hivyohivyo.... Sijui kwanini hii ya Meko imekuwa habari mpaka uianzishie uzi..

Sukuma gang mnateseka sana na mungu wenu wa Chattle
Wanajikaza kisabuni hao huku wamejawa hasira za kifutu maana walitegemea serikali itangaze kabisa mapumziko ya kitaifa.
 
Sema umewakilisha sukuma gang wenzako
 
Na hapo bado kuna siku itapita tu kama mvua za rasharasha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…