Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
Na pia hakualikwa mtu!Tumeisusia siku yenu mataga
Unaumia moyoni!Sema huteteleki wewe sukuma gang.
Ndugu, hv huoni kuwa unajitafutia vidonda vya tumbo na UTI visivyo na ulazima?!!!!! Kwani shida yenu nini haswaa?!!!Coverage ni kubwa Sana hiyo ulitaka na wanafiki kama nyie muomboleze wakati tunawatambua,Kwa akili yako ndogo huchelewi kusema angekuwepo flani na flani ingeonekana kubwa Kwa taarifa yako uwepo WA Kardinali Pengo Tu Jana umewakilisha maelfu ya WATANZANIA ni mzito kuzidi hata angeenda samia au jk
Kama mtu (Magufuli) alisharudi mavumbini, kwanini tena kumsumbua?Leo ilikuwa ni siku ya kumbukumbu ya siku iliyotangazwa kifo cha mpendwa Rais wetu Hayati Magufuli ukweli wa kilitokea lini tuachane nayo.
Kilichonifurahisha leo
ni namna ambavyo siku hiyo imeadhimishwa kwa misa maalum ya kumuombea badala ya kufanyika kiserikali kitu ambacho kingejaza wanafiki watupu.
Napongeza wazi hilo liwe endelevu na Mungu awasimamie familia.
Tunamshukuru Mungu Kwa maisha ya Hayati Magufuli.
Sisi wote ni mavumbi na wote tutarudi mavumbi ni suala la muda tu.
Mungu ni wetu sote.
Nakuona unavyotamani afe mara ya piliKwani ingefanyika kiserikali ungepungukiwa nini boss
Imani yangu inaruhusu misa za wafu kama wewe hufanyi usitake na wengine wasifanye ndio mana kuna Uhuru wa kuabudu hatuwezi kufananaKama mtu (Magufuli) alisharudi mavumbini, kwanini tena kumsumbua?
Misa za kuwaombea wafu za nini tena?
Tuwaache wafu wapambane na hali zao huko huko walipo na sisi tupambane na hali zetu huku huku duniani tulipo.
Huo ndio ukweli uzito wa Kardinali haufanani na hao kama una akili utaelewa kama unafikiria kihisia hutoelewaNdugu, hv huoni kuwa unajitafutia vidonda vya tumbo na UTI visivyo na ulazima?!!!!! Kwani shida yenu nini haswaa?!!!
Sawa, pengo ni jitu kuuubwa kuliko sami na jk......nenda kaki get naji ya mvua sasa unywe upate afya!
Hiyo ndio namna ya kuadhimisha siku hiyo hakuna zaidi.Leo ilikuwa ni siku ya kumbukumbu ya siku iliyotangazwa kifo cha mpendwa Rais wetu Hayati Magufuli ukweli wa kilitokea lini tuachane nayo.
Kilichonifurahisha leo
ni namna ambavyo siku hiyo imeadhimishwa kwa misa maalum ya kumuombea badala ya kufanyika kiserikali kitu ambacho kingejaza wanafiki watupu.
Napongeza wazi hilo liwe endelevu na Mungu awasimamie familia.
Tunamshukuru Mungu Kwa maisha ya Hayati Magufuli.
Sisi wote ni mavumbi na wote tutarudi mavumbi ni suala la muda tu.
Mungu ni wetu sote.
Shauri yenu, endeleeni kujifariji kwa kadiri mnavyowezaHuo ndio ukweli uzito wa Kardinali haufanani na hao kama una akili utaelewa kama unafikiria kihisia hutoelewa