Nimependa majibu ya Lugumi, kumbe jamaa ni darasa la saba tu. Je, Hayati Magufuli alikuwa na personal conflict naye?

Mungu Akujalie wewe na vizazi vyako
 
Naweza kubali, Lugumi hakuwa peke yake. Kuna kampuni jingine halikuguswa kabisa.

Swali langu ni hili tu. Lugumi alipata tenda kipindi cha JK, ambapo Mwema alikuwa ni IGP. Uhusiano wa Lugumi na Mwema ukoje ?​
Lugumi ana mizizi yake especially kwenye ishu za millitary weapons na waisrael na wamarekani wanamwamini kabisa chini ya ukanda wetu wa sahara jiwe kwenda kuleta kampuni yake na kuifanyai forcing ni kitu ambacho waisrael na wamarekani wasingekubali ndo akahamia kwa wachina which is silaha zao hazina ubora wa kiivyo
 
Kwahiyo kumfuatilia mwizi aliyechukua pesa, mabilioni ya serikali bila kuifanyia kazi ni Personal Conflict?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…