Gatabhanya
JF-Expert Member
- Nov 16, 2024
- 2,644
- 5,178
Jiwe angekuwepo hadi leo chato ingekua london
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ulinipatia dada yako sawa Mkuu Ndugu.Nina altenative kama tano za kuingiza hela kumbe upo tu kwenye sofa la dada yako ukiangalia tamthiliya za azam tv
Lugumi kashawachota wasiofahamu nyuma ya pazia.
Tupe mbele ya pazia na sisi tujueLugumi kashawachota wasiofahamu nyuma ya pazia.
Mungu Akujalie wewe na vizazi vyakoWivu na muonea nani.....?Kwa hiyo wote tuwe wapigaji....... mtaiuza nchi hii, halafu mtapangiwa cha kufanya.
Unaakili kama za wauza ngada wa Mexico, kwa kuwachekea wauza unga ,matokeo yake vijana wengi wanadream ya kujiunga na Cartel na nchi ishakuwa ya wauza unga,serikali ishapoteza control kwani kila kijana anatafuta kazi ya kulima,kusafirisha na kuuza unga. Nchi hii tunawachekea mafisadi ndio maana vijana wengi wanadream za kupata nafasi kwenye mashirika makubwa ili wapige hela na si kuyaendeleza, halafu wanaopiga hela wanatafuta sana kuonewa huruma na jamii kwa misaada yao,kama wauza ngada wa Mexico.
Uzuri sina akili ya upigaji kwani nina alternative kama tano za kuingiza hela bila kupiga. Ninacho ongea hapa ni kwa ajili ya maendeleo ya Tz na vizazi vijavyo.
Baba Mkwe.Wewe ndiyo ulikuwa mke wa lugumi?
Adios amigoBaba Mkwe.
Awalipie hata ada basiSasa hao madogo wenye chini ya miaka 10 mitaji yakupeleka wapi
Alijenga kwa fedha zake ama kodi zetu???Na ukipanda treni ya sgr unajiselfisha kabisa
Lugumi ana mizizi yake especially kwenye ishu za millitary weapons na waisrael na wamarekani wanamwamini kabisa chini ya ukanda wetu wa sahara jiwe kwenda kuleta kampuni yake na kuifanyai forcing ni kitu ambacho waisrael na wamarekani wasingekubali ndo akahamia kwa wachina which is silaha zao hazina ubora wa kiivyoNaweza kubali, Lugumi hakuwa peke yake. Kuna kampuni jingine halikuguswa kabisa.
Swali langu ni hili tu. Lugumi alipata tenda kipindi cha JK, ambapo Mwema alikuwa ni IGP. Uhusiano wa Lugumi na Mwema ukoje ?
Hahahahaha jinga sana wewe!Wewe uliye na phd una kipi cha kumzidi lugumi au ni hiyo UTI uliyonayo?