Nimependa majibu ya Lugumi, kumbe jamaa ni darasa la saba tu. Je, Hayati Magufuli alikuwa na personal conflict naye?

Maadam Ni Mtanzania wala Roho hainiumi labda angekuwA mgeni ningechukia Mi naamini wAnaoponda wenzao nao shida huwA nafasi tu kila mwanadam kiasili ni mwizi (Labda Mitume wA Mungu kwani wao ni Special)ila waliobaki wote wezi tunatofautiana viwango vya wizi kinachobaki ni Wivu kwa wale wAliootea Tundu la mlija.
Haikumii sababu ni Mtz? Aisee wabongo tuna safari ndefu kuyafikia maendeleo, hivi mf Watz mia nao wakipiga hela,hivi unazani nchi itakuwa kwenye hali gani daah.........
 
Nje ya mada kidogo.

Kwanini hao matajiri hawatoi misaada inayoweza kubadili maisha ya watu badala yake wanatoa misaada ya papo hapo na maisha yako yanabaki vile vile???

Yaani kwa mfano, kwanini Mara nyingi wanatoa misaada ya kula na kunywa, nguo n.k, kwanini hawatoi misaada ya mitaji au miradi??
Swali la msingi
 
Kwani we ukiwa miongoni mwa hao mia utakataa kupiga hela?Acha wivu.
Wivu na muonea nani.....?Kwa hiyo wote tuwe wapigaji....... mtaiuza nchi hii, halafu mtapangiwa cha kufanya.

Unaakili kama za wauza ngada wa Mexico, kwa kuwachekea wauza unga ,matokeo yake vijana wengi wanadream ya kujiunga na Cartel na nchi ishakuwa ya wauza unga,serikali ishapoteza control kwani kila kijana anatafuta kazi ya kulima,kusafirisha na kuuza unga. Nchi hii tunawachekea mafisadi ndio maana vijana wengi wanadream za kupata nafasi kwenye mashirika makubwa ili wapige hela na si kuyaendeleza, halafu wanaopiga hela wanatafuta sana kuonewa huruma na jamii kwa misaada yao,kama wauza ngada wa Mexico.

Uzuri sina akili ya upigaji kwani nina alternative kama tano za kuingiza hela bila kupiga. Ninacho ongea hapa ni kwa ajili ya maendeleo ya Tz na vizazi vijavyo.
 
Wakuu ama hakika nimeipenda interview ya Millard Ayo na Saidi Lugumi na anasema yeye hajawahi kumtapeli mtu, hajawahi kumfitini mtu, hawajahi kumdhulumu na anaamini pesa alizonazo sio za kwake na kingine eti jamaa ameishia darasa la saba nimeshangaa ujanja ujanja ya huyu jamaa duu kweli ujanja si kusoma bwana

Swali; Je, JPM alikuwa na personal conflict na Lugumi au Lugumi alikuwa na makando kando?

Pia soma - Said Lugumi aita watoto 700+ nyumbani kwake kufanya ibada, kula, kunywa na kucheza pamoja kwa siku nzima

Tazama interview yake hapo chini 👇👇👇

Huyu anahusudu sana mambo ya waganga/ ushirikina. Hapo hao watoto lazma kaambiwa na mganga awaite hivyo. Kweli darasa la saba.
 
Kumpa mtu chakula sio msaada, ukitaka kumsaidia mtu mpe elimu na mtaji. Hapa namaanisha elimu ya darasani au elimu huria ya biashara akapambane na maisha yake. Hii misaada ya chakula inadumaza akili kwa kiasi fulani jambo sio mbaya kulisha na kuvisha watu wenye uhitaji.
 
Umetazama hiyo clip mpaka mwwi
Kumpa mtu chakula sio msaada, ukitaka kumsaidia mtu mpe elimu na mtaji. Hapa namaanisha elimu ya darasani au elimu huria ya biashara akapambane na maisha yake. Hii misaada ya chakula inadumaza akili kwa kiasi fulani jambo sio mbaya kulisha na kuvisha watu wenye uhitaji.
[/QUOTEmwisho? Wabongo acheni kufuatilia vitu nusu nusu aisee
 
We jamaa akili zako et personal conflict,tambua kuwa hii Dunia bila shule ni ngumu sana kutoboa ukawa tajiri Mkubwa.
Lugumi ni sawa na Gachagwa yule alikuwa Makamu wa Rais wa Kenya,Lugumi alikuwa anatumika kuibia Serikali kupitia kandarasi hewa zinaotolewa Serikalini.
Ukisha mjua mke wa Lugumi ni mtoto wa nani, basi majibu ya utajiri wa Lugumi utayaelewa!!
 
Wivu na muonea nani.....?Kwa hiyo wote tuwe wapigaji....... mtaiuza nchi hii, halafu mtapangiwa cha kufanya.

Unaakili kama za wauza ngada wa Mexico, kwa kuwachekea wauza unga ,matokeo yake vijana wengi wanadream ya kujiunga na Cartel na nchi ishakuwa ya wauza unga,serikali ishapoteza control kwani kila kijana anatafuta kazi ya kulima,kusafirisha na kuuza unga. Nchi hii tunawachekea mafisadi ndio maana vijana wengi wanadream za kupata nafasi kwenye mashirika makubwa ili wapige hela na si kuyaendeleza, halafu wanaopiga hela wanatafuta sana kuonewa huruma na jamii kwa misaada yao,kama wauza ngada wa Mexico.

Uzuri sina akili ya upigaji kwani nina alternative kama tano za kuingiza hela bila kupiga. Ninacho ongea hapa ni kwa ajili ya maendeleo ya Tz na vizazi vijavyo.
Nina altenative kama tano za kuingiza hela kumbe upo tu kwenye sofa la dada yako ukiangalia tamthiliya za azam tv
 
We
We jamaa akili zako et personal conflict,tambua kuwa hii Dunia bila shule ni ngumu sana kutoboa ukawa tajiri Mkubwa.
Lugumi ni sawa na Gachagwa yule alikuwa Makamu wa Rais wa Kenya,Lugumi alikuwa anatumika kuibia Serikali kupitia kandarasi hewa zinaotolewa Serikalini.
We hiyo PhD yako kwasasa ni tajiri namba ngapi mtaani kwako au kijijini kwako?
 
anasema yeye hajawahi kumtapeli mtu, hajawahi kumfitini mtu, hawajahi kumdhulumu
Mkuu unaamini kuna tajiri anaweza kuhojiwa kwenye interview akakiri kinyume na haya maneno hapo.

Yaani kabisa aseme najuta hizi hela nilidhurumu, pia nilifanya utapeli, na kufitinisha watu hii inawezekana kweli kwa Tanzania yetu hii. 🤔🤔
 
JPM anamjua Lugumi kuliko Mimi na wewe.
JPM alikuwa Rais,ana resources zote za kumjua kila mtu.

Lugumi alikuwa na tender za kussuply jeshi la polisi, hapo nafikiri umeshajua kwanini JPM aliamua kudeal naye.

Kuwa darasa la saba sio issue, issue ni kushirikiana na waliokuwa kwenye mamlaka kuwaiabia watanzania masikini halafu ukajiona mjanja na kuhubiri Unaakili japo Darasa la saba.

Shule ni shule tu, tuache kuipotosha jamii na hili lasaba, maendeleo makubwa unayoyaona duniani ni matokeo ya watu kusoma vizuri na kuelewa vile walivyosomea.
 
Wakuu ama hakika nimeipenda interview ya Millard Ayo na Saidi Lugumi na anasema yeye hajawahi kumtapeli mtu, hajawahi kumfitini mtu, hawajahi kumdhulumu na anaamini pesa alizonazo sio za kwake na kingine eti jamaa ameishia darasa la saba nimeshangaa ujanja ujanja ya huyu jamaa duu kweli ujanja si kusoma bwana

Swali; Je, JPM alikuwa na personal conflict na Lugumi au Lugumi alikuwa na makando kando?

Pia soma - Said Lugumi aita watoto 700+ nyumbani kwake kufanya ibada, kula, kunywa na kucheza pamoja kwa siku nzima

Tazama interview yake hapo chini 👇👇👇

Lugumi kashawachota wasiofahamu nyuma ya pazia.
 
Back
Top Bottom