Nimepewa dawa zilizoexpire( kuisha muda wake) katika Zahanati ya Serikali!!!.

Sisi wadau wa afya waandamizi seniorz tunajua tuna jua dawa Ina expired date mfano January so kuisha nguvu ni miezi mitatu after expired.

Kuna mengi nayo yajua ngoja ninyanaze nisije kua Kama tundu lissu ☺️☺️
Weee!! Mimi hata ikiexpire lisaa limoja sintoitumia. Ila Hawa watu wamenifungua macho
 
Hii Zahanati ndo kawaida yake kuuza dawa zilizo expire naikumbuka sana mana hata mimi waliniuzia dawa zime expire
Dr mambo jambo kasema wanafanya FEFO, sijui fefo ndo kitu gani ila wawe wanasema basi kuepusha taharuki.
 
Usihofu! Hiyo dawa bado haijawa sumu, ufanisi wake tu ndio umeshuka. Haina tofauti na kula chakula kichoanza kuchacha
Kumbe,, angalau nimetulia hofu sasa
 
Expiry date haimaanishi dawa inakua sumu hapohapo

Ni muda ambao mzalishaji anakua hana tena guarantee ya 100% ya ubora na ufanisi wa dawa zake
Ahaa, ndo nimefahamu sasa. Shukrani.
 
Weka picha tuone hio expiry date
 
ukiondoa kutokunywa maziwa pia expire huwaga huangalii pia
Siangaliagi kwa hospital za Serikali ila binafsi Huwa naangalia lazima. Baada ya hili tukio, itabidi nazenyewe niwe nakagua.

Maziwa nakunywa ila sio Kila siku.
 
Siangaliagi kwa hospital za Serikali ila binafsi Huwa naangalia lazima. Baada ya hili tukio, itabidi nazenyewe niwe nakagua.

Maziwa nakunywa ila sio Kila siku.
sio dawa tu mkuu chochote kile kukagua expire ni muhimu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…