selukeng'e
Member
- May 11, 2015
- 10
- 24
Kama ni kweli sheria ya kazi haisemi hivyo.Kutokana na hill janga la korona nimepewa likizo ya bila malipo. Mimi ni mwalimu katika shule moja private, likizo hii tumepewa wafanyakazi wote. Ninapitia wakati mgumu sana ninapenda kuwashauri vijana ambao bado hamjaoa nivema mkaoa wadada wafanyakazi pia jaribu kuwa na biashara pembeni. Wanajamii ninaomba msaada kama tunawezachukua hatua za kisheria kwa hili sababu hatukupewa hata nauli ama tupambane na halo zetu
Kumbe unasikia? Tafuta hiyo sheria uisome mkuumkuu sio kwa serikali hii, pambana kivyako tu maaana naskia kuna sheria inambeba mwajiri pale anapotangaza kufilisika
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutokana na hill janga la korona nimepewa likizo ya bila malipo. Mimi ni mwalimu katika shule moja private, likizo hii tumepewa wafanyakazi wote.
Ninapitia wakati mgumu sana ninapenda kuwashauri vijana ambao bado hamjaoa nivema mkaoa wadada wafanyakazi pia jaribu kuwa na biashara pembeni.
Wanajamii ninaomba msaada kama tunawezachukua hatua za kisheria kwa hili sababu hatukupewa hata nauli ama tupambane na halo zetu
Mkuu sidhani Mimi niko huku kwenye nchi ambazo corona wanashambulia sana nafanya kazi kampuni moja ya kimataifa mwezi hatuingii kazini sasa lakini kila kitu tunalipwa Kama kawaida. Huo ni uonevuTatizo lenu mkipata kazi hamsomi mikataba yenu ya kazi vizur mnaishia tu kukimbilia kuisign
Kipengele cha force majeure kinasemaje kwemye mkataba wako wa kazi??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Mleta mada kasema ni Shule binafsi, na mitaji yao ni sisi wazazi tunapopeleka watoto wetu.Unapaswa kulipwa basic salary kwa kipindi chote utakacho kuwa likizo
Jr[emoji769]
Hiyo basic anaitoa wapi huyo mwenye shule? Wazazi hawataki kulipa ada!Unapaswa kulipwa basic salary kwa kipindi chote utakacho kuwa likizo
Jr[emoji769]
Ndio walim wa watoto wetu huyuUnapaswa kulipwa basic salary kwa kipindi chote utakacho kuwa likizo
Jr[emoji769]
Pole sana mkuu sector ya ualimu hasa private wamiliki wa shule wamefanya uhuni sana,kama una mkataba na haujaisha mpeleke front(UBAONI) mwajiri.Kutokana na hill janga la korona nimepewa likizo ya bila malipo. Mimi ni mwalimu katika shule moja private, likizo hii tumepewa wafanyakazi wote.
Ninapitia wakati mgumu sana ninapenda kuwashauri vijana ambao bado hamjaoa nivema mkaoa wadada wafanyakazi pia jaribu kuwa na biashara pembeni.
Wanajamii ninaomba msaada kama tunawezachukua hatua za kisheria kwa hili sababu hatukupewa hata nauli ama tupambane na halo zetu
Ushasema huko huku shithole country hovyo hovyo kabisaMkuu sidhani Mimi niko huku kwenye nchi ambazo corona wanashambulia sana nafanya kazi kampuni moja ya kimataifa mwezi hatuingii kazini sasa lakini kila kitu tunalipwa Kama kawaida. Huo ni uonevu